si swala la self esteem hapa ila ndio ukweli kwani ni vitu gani tunavyojitengenezea wenyewe waafrika? ni nchi chache zinazojitengenezea madawa nguo na vitu vingine vya kutumia nyingi zetu ni za kusubiri tupewe toka nje au tununue, sera tunatunga tunasubiri kuambiwa hizo ziendelezeni hizo acheni, we have no power to decide anything in this world,wenye power ndio wanasema nasi tunafuata sasa democracy ndio utawala mzuri na tunalazimishwa kuufwata ikiwa tunataka tuwe sehemu ya international society,ukienda kinyume wewe gaidi wewe utasakamwa hadi upotee,the fact that we have no power on issues in the world ndio inayotufanya tuone kuwa sisi ndio tutakuwa waathirika wa haya mambo, leo hii peleka bidhaa yako nchi za magharibi kwanza ukifanikiwa kuipeleka shukuru lakini kuitumia hiyo bidhaa ni tatizo huko nje,lakini sisi kwa vile sio wazalishaji wa kila kitu basi tunapokea kila kijacho.majaribio ya madawa nchi zetu ndio zinakuwa projects tungekuwa na power tusingekubali lakini sasa mtakataaje wakati ikiwork tutapewa kama msaada?
upo sahihi. Ila chukulia mfano viumbe walio ktk hatari ya kutoweka wanavyolindwa.Wenzetu pamoja na ubaya wao wanafahamu hatari ya kuwa na fikra potovu za kufuta watu,na viumbe tofauti. as long as hatuna hatari kwao kwa kiasi ambacho hawawezi tua ccomodate tutakuwa salama.Ila shida ni huku kutojua tuendapo. AU ni katawi viongozi wa aina ya Gaddafi, China, Arab propagandists, so chances are tunaweza kujikuta tuna siasa mbaya na tupo ktk wrong boat na hivyo tukawa halali malizwa.
Hatuna ushahidi wowote kama kweli secret societies wapo. Ila kuna watu wenye mental problems ambao huogopa kila kitu. Wakiona Obama wanaogopa...wakiona China inapaa wanaogopa. Wanajenga nadharia za uwongo na kuzieneza. Hawa ndiyo wale wanaodhani dunia hii iliumbwa kwa ajili yao na ni wao peke yao ambao wana haki ya kuitawala dunia hii. Ni weupe wachache vichaa. Ndiyo wale kwa mfano waliojiita KKK na slogan yao ya 'white power'. Ndio hao ukiwaambia kwamba in fact mababu zetu weusi ndo waliowaumba kinamnanamna enzi hizo hapo ndo unaongeza cheche za moto...:wink2:

lile jengo la freemason Hall pale posta ni kina nani wale?
si swala la self esteem hapa ila ndio ukweli kwani ni vitu gani tunavyojitengenezea wenyewe waafrika? ni nchi chache zinazojitengenezea madawa nguo na vitu vingine vya kutumia nyingi zetu ni za kusubiri tupewe toka nje au tununue, sera tunatunga tunasubiri kuambiwa hizo ziendelezeni hizo acheni, we have no power to decide anything in this world,wenye power ndio wanasema nasi tunafuata sasa democracy ndio utawala mzuri na tunalazimishwa kuufwata ikiwa tunataka tuwe sehemu ya international society,ukienda kinyume wewe gaidi wewe utasakamwa hadi upotee,the fact that we have no power on issues in the world ndio inayotufanya tuone kuwa sisi ndio tutakuwa waathirika wa haya mambo, leo hii peleka bidhaa yako nchi za magharibi kwanza ukifanikiwa kuipeleka shukuru lakini kuitumia hiyo bidhaa ni tatizo huko nje,lakini sisi kwa vile sio wazalishaji wa kila kitu basi tunapokea kila kijacho.majaribio ya madawa nchi zetu ndio zinakuwa projects tungekuwa na power tusingekubali lakini sasa mtakataaje wakati ikiwork tutapewa kama msaada?
sioni ubaya wa hizo amri. The world has to be depopulated, but naturally via natural deaths and family planning. Tunazaana sana hovyo na while the human race is dynamic, nature is static.
Na wewe mleta mada jifunze kuandika kwa ufasaha, na kuedit pia maana inaonekana umetubwagia hapa bila hata ya wewe kupitia
who made the stone? for sure this stone is not mysterious, it must been made by someone or may be secret societies not God
The commandments are vague and in danger of self violating themselves from "avoid petty laws and useless officials. What are petty laws? Useless officials to whom?
Overpopulating the world is bad (basically we will be choking our resources), a population target of 500 million (just under half the population of India) is equally bad in that it will vastly underutilize the world's resources and reduce the collective brainpower of humanity drastically.
The world, with the help of responsible technology, can maintain a population of 5 billion with no adverse repercussions.
Raia are you saying kua tusha reach hio stage ya kutakiwa tupungue? Nature is kind of dynamic too I believe...
Kuna mambo mengi yanazushwa tu hapa duniani. Nadharia nyingi zinatungwa. Secret societies wasingeweza kubaki secret kwa mamia ya miaka yote hii. Labda kama wapo katika hali ya kutoonekana kwa macho ya kawaida. Kwamba kuwe na watu wanaojificha kwa miaka mingi kiasi hicho haiwezekani--vyombo vya habari duniani vingekuwa vimesha document mabo haya. Swali pia ni hili: kwa nini wajifiche? Kama wanataka kuficha agenda ya new world order, mbona ipo wazi--inazungumzwa sana na umoja wa mataifa, ingawa kwa lugha isiyotisha sana. Kama ni agenda ya kuwamaliza watu "wasiohitajika" (undesirables), mbona mawazo hayo yamekuwa wazi toka zamani (ondoa weusi, ondoa wayahudi, nk.) na yanasemwa hadi sasa na baadhi ya vichaa. Kama kuna freemasons hapo posta, kwa nini vyombo vya habari huru visifuatilie kwa makini na kudocument? Bado nasema hatuna ushahidi bali ni conspiracy theories tu...
how nature becomes dynamic? Human race has a multiply effect. Does nature multiply itself? Talking about nature is talking about resources.
Raia when we talk of nature being dynamic, this is completely contrary to nature being able to multiply.... Nature is of course dynamic but can not multiply.....
who made the stone? for sure this stone is not mysterious, it must been made by someone or may be secret societies not God