Unachukua 2 na 2 unazitazamanisha
Unachukua 3 na 3 unazitazamanisha
Unachukua 7 na 7 unazitazamanisha
MAJIBU:
1:Utapata samaki
2:utapata namba 8
3: utapata mzingo
Hapana Dreson4 hebu tufanye kwa vitendo 22, 33,77!!! Zinatakiwa ziungane kwa kutazamana si kwa kufuatana
naona kingereza "invert" kilikupiga chenga kdg.. invert manake geuza katika opposite diection..
Unachukua 2 na 2 unazitazamanisha
Unachukua 3 na 3 unazitazamanisha
Unachukua 7 na 7 unazitazamanisha
MAJIBU:
1:Utapata samaki
2:utapata namba 8
3: utapata mzingo