Ndibalema wee ni noma.Bwana mabel mbona umeanzisha hii topic wakati huu ambao vichwa vimeshachoka na pilika pilika za siku nzima!
Ungeuliza asubuhi hakyanani mimi ningetoa jibu sahihi lakini sasa hivi nipo hoi hapa.
Siyo simple kama hivyo. Ukiuliza mlinzi huyu atakujibu hilo swali moja tu na hatakupa maelezo mengine, na baada ya kuwa umemuuliza huyu, yule mwingine hatafanya maongezi yoyote na wewe.kwa vile unaweza kuuliza mmoja na unaweza kutoka kwenye mlango wowote, unamfuata mlinzi moja unamuuliza huundo lango wa kwenda kunyongwa?
Mlinzi mkweli atasema ndiyo, soo, utatoka kwenye mlango wa pili, yule mwongo atasema hapana, then unatoka hapo hapo.
SIMPLE/
Uko gerezani umefungwa kifungo kisicho na mwisho, unapewa nafasi moja ya kutoka gerezani iwapo utapita mtihani ulio mbele yako.
Unaonywesha milango miwili, kila mlango unamlinzi mmoja, mlango mmoja unaelekea kunyongwa na mlango mwingine unakurudisha uraiani kula maisha na jamaa zako.
...umepewa nafasi ya kumuuliza mlinzi mmoja wapo kati ya hao wawili swali moja TU ilikutambua ni mlango upi utokee/ufungue na upate kupona.Katika hao walinzi wawili, mmoja anasema uongo tu na mwingine anasema kweli tu, na hawa wawili wanajuana tabia zao na wewe hujui yupi ni mkweli na yupi ni muongo.
utafanya nini ili ujue mlango utakao kupeleka uraiani kufurahia maisha na si kwenda kunyongwa?
Polenni wandugu, na hili ndio jibu sahihi.
Kwanza kabisa mimi sihitaji kujua mkweli ni yupi na muongo ni yupi, mimi nataka kurudi uraiani.
Hivyo nitamfuata mlinzi yeyote nitamuuliza swali hili la kizushi, "Eti kama nikimuuliza mlinzi mwezako nitokee mlango upi ili nisinyongwe atanionyesha upi?"
Akisha kupa jibu fanya kinyume cha jibu lake pasipo kujali ni muongo au mkweli.
Proof.
Kama utakuwa umemuuliza muongo, atakuonyesha mulango wa kunyongwa (anajua mwenzake anasema kweli tu) hivyo kufungua kinyume utapona
Kama utakuwa umemuuliza mkweli, atakuonyesha mulango wa uongo(anajua mwenzake anasema uongo tu) hivyo kufungua kinyume chake utafungua mlango wa uzima.
Kuna aneyebisha?
Hakuna anayebisha, that's correct!
kunatofauti gani na jibu hili mkuu??Hakuna anayebisha, that's correct!
kunatofauti gani na jibu hili mkuu??
kwa vile unaweza kuuliza mmoja na unaweza kutoka kwenye mlango wowote, unamfuata mlinzi moja unamuuliza huundo lango wa kwenda kunyongwa?
Mlinzi mkweli atasema ndiyo, soo, utatoka kwenye mlango wa pili, yule mwongo atasema hapana, then unatoka hapo hapo.
SIMPLE/
kwamba fanya viceversa?
mkuu watu hawanyongwi kwa kutumia sumu!Ntamuuliza swali la kizushi askari kama "nackia mnanyonga kwa kutumia sumu?" najua askari mwongo atakataa wakat askari mkwel anaweza jibu "sio mimi ninayenyonga" afu bada apo ntajua tuu.