Graphic designer & social media expert

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Jun 13, 2017
13,988
22,379
Habarini wadau,

Nimewakumbuka sana.

Anyways, kuna nafasi ya kazi na anahitajika Graphic designer and social media expert.
Vigezo :
1. Awe mwanamke
2. Asiwe na majukumu ya kifamilia
3. Muaminifu na asie muongomuongo
4. Awe tayari kujifunza new skills
5. Ajue kuzungumza kiingereza, akijua lugha ya kimataifa (French/german/Spanish /Arabic) ya ziada ni added advantage.
6. Akijua kupika vizuri ni added advantage.
7. Sehemu ya kazi ni Zanzibar.

For more information please DM me.

One love!
 
Hapo ktk social media expert maybe utapata ila ktk upande wa Graphics Design kwa kweli nipo ktk field ya tech sikumbuki kama nishawahi kuonana na Graphics designer wa kike.

Hiyo ishu sijui kwanini Wanawake wapo nyuma.
 
Nadhani over time watarealize kwamba inabidi wawe katika field zote.

Thanks mkuu for the hint.
 
Hapo ktk social media expert maybe utapata ila ktk upande wa Graphics Design kwa kweli nipo ktk field ya tech sikumbuki kama nishawahi kuonana na Graphics designer wa kike.

Hiyo ishu sijui kwanini Wanawake wapo nyuma.
Hakuna wapo Ila ni wachache mno wanawake hawapendi sana hii makitu ya kuumiza vichwa wengi wanapenda vitu simple km kupaka kucha rangi na kubadirisha mitindo ya vywele sio kukomaa na Dreamweaver au Adobe Creative Suite tafuta km utampata Producer wa kike anaetengeneza mangoma ukimpata niletee nikatengeneze hit song kwake
 
Ndio maana nashangaa.. Graphics Designer au hivyo Producer wa ngoma kalii sijaona.. yaan sikumbuki.
 
Back
Top Bottom