Gramophone Radio

Gramophone Radio

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
36,509
Reaction score
45,122
Kwa wale vijana wa .COM hii chini ni Radio aina ya Gramaphone, wakati wa miaka ya 70's kama mzee wako hakuwa nayo hii basi tena.

LuguLake-Stereo-3Speed-Turntable-with-BuiltIn-Bluetooth-Speakers-Record-Player-FM-Radio-and-RCA-Output-Vintage-Phonograph-with-Retro-Wooden-Finish-TN01

Miziki kama hii ndiyo iichezwa kwenye hiyo sahani na kisindano ndiyo ki magnetic reader - always old days will be remembered. kwa wale vijana wa wakati ule nina uhakika nimewakumbusha mbali sana.

Kwahiyo mkuu ukitaka kusugua kama wafanyavyo ma DJ YA wezekana?
 
Magnetic reader kaka huwezi ku-scratch , yaani wakati ule kazi a DJ ilikuwa ni kuziandaa hizo sahani kwa kuzifuta futa vumbi tu ili kale ka sindano kasikwame, mbwembwe kulikuwa hakunaga.
 
Duh haya kaka, vipi zinapatikana maana mimi sijawahi kabisa hata tu kuona, nilikuwa nahadisiwa tu na babu. Inawezekana ukaipata na ukanunua angalau kwa ajiri ya kumbukumbu.
 
zinapatikana used kaka, ila bei yake ipo juu - hata hapa Tanzania kuna baadhi ya vijana wa wakati huo ambao kwa sasa ni wazee wanazo.
 
Asante ngoja nifanye mishe!
 
Hiyo uliyoweka hapo sio Gramaphone,hiyo ni Record player,niko tayari kukosolewa..
 
zinapatikana used kaka, ila bei yake ipo juu - hata hapa Tanzania kuna baadhi ya vijana wa wakati huo ambao kwa sasa ni wazee wanazo.
VIP chenja ndo zilikuwa player za aina gani
 
Zilikuwepo na zilizokuwa unazunguusha mkono kama unapiga hendeli zilikuwa hazitumii betri nani anakumbuka Nina lake mm nimelisahau.

Sent from my HUAWEI CUN-U29 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom