CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,920
😁😁😁😁kukimbia mji naunga mkono hoja,,,,,,,,Naungana na mtoa mada kwenye kukimbia mji au mtaa wa nyumbani ili kufanya yako kwa uhuru maana hata mimi imenisaidia hio 😂😂😂 watu hawatakiwi kujua unapambanaje na hata mambo ya kuji expose kwenye mitandao ya kikuda unayaweka kando.
Binafsi nimekuelewa sana mkuu.Aibu na Uoga ni janga kubwa sana. Asikuambie mtu, mtu asikuambia mimi sina mtaji ila ukweli ni Aibu na Uoga.
Kuna Mtumishi mmoja Baba yake na Mkurugenzi wa Jamiiforum aliwahi tuambia mafanikio huanza pale Uoga na Aibu zinapo ondoka
Tuna hivi vitu moyoni.
1.Wazazi watanielewa kweli kijana wao mwenyr Degree?
2.Hivi Shemeji yangu akisiki itakuwaje?
3.Hivi Mchumba wangu atanielewa kweli kwamba ni mimi nilie kuwa Chuo?
4.Marafiki zangu watanielewa kweli?
5. Majirani vipi?
Combinationa ya hivyo vyote humfanya mtu aone bora akae tu kisingizuoa kiwe sina mtaji
Unaodoaje AIBU na UOGA?
1. Jitoe ufahamu kabisa weka pamba masikioni hapa ni pale ambapo inafikia stage wanakuona kama unerukwa na akili ila wewe na Mungu wako unajua unacho kifanya
Hii hatua ni ngumu sana kujitoa ufahamu sio mchezo make inabidi kweli uwe na roho ya Chuma au Roho ngumu sana.
2. Hama nenda mbali na wanako kujua.
Kama home ni Korogwe pale na wanakujua ulikuwa Chuo kikuu basi nenda Karatu Arusha anza makazi pale fanya chochote hata kuuza vocha na sigara na karanga.
Hii ni njia nzuri sana make unakuwa mbali sana na unakuwa kivyako vyako au na mshikaji wako na mnafanya mambo.
3. Usiharibu kumshirikisha mtu yoyote yule hata Wazazi wako kwamba unataka kufanya nini au unafanya nini bali waje kujua wenyewe baadae sana.
Kitendo cha kuwaambia Wazazi au Ndugu na Jamaa na Marafiki kwamba kwa sasa nataka nifungue kibanfa cha kuuza Vocha wengi hawatakuelewa na watakukatisha tamaa balaaa.
Hii inachangiwa na imani kwamba Chuo kikuu ni ni levo tofauti.
4. Jitenge na mamet zako au Marafiki walio na kazi watakutuia Uoga zaidi make ukiwa unawaona wanatokea kazini utaumia zaidi.
5. Washikaji na ndugu na Jamaa wakiwa wanakupigia pigia simu wewe wajibu in short una kibalua unafanya sehemu. Ili kukata
Make wakipiga ukaawambia unauza Vocha Dah hawatakuelewa kabisa kabisa.
Jitahidi kuwakatisha na wajibu in short tu.
MWISHO
Achana na kwamba una Degree hata ikibidi watu wengi waambie hujaenda shule au uliishia tu Form four.
Ondoa Aibu na Uoga wacha watu wakuone kama umechanganyikiwa, wacha wakuseme, wacha wakucheke, wacha wakukebehi ila mwosho wa siku unajua unacho kifanya.
Kwa sasa Naishia hapa.
MAFANIKIO HUANZA PALE TU AIBU NA UOGA VINAPO TOWEKA
Hapana kk...mazingira uliyokulia na baharia wanakujua fika ni ngumu sana kutoboa asee maana kuna baadhi ya vitu ama mambo japokuwa yana masirahi lakini huwezi kuyafanya ili kulinda utu wako na nafsi isisinyae mkuu....Ujumbe mzuri... ila kuamua kufanya vitu kwa kujificha utakuwa ni mzigo kwenda kwenye mafanikio tarajiwa...cha msingi
Kweli mkuuuAibu na Uoga ni janga kubwa sana. Asikuambie mtu, mtu asikuambia mimi sina mtaji ila ukweli ni Aibu na Uoga.