Graduates wengi mkiweka Aibu na Uoga pembeni, basi mtaani mnaishi

CHASHA FARMING

CHASHA FARMING

Verified Member
Joined
Jun 4, 2011
Messages
6,575
Points
2,000
CHASHA FARMING

CHASHA FARMING

Verified Member
Joined Jun 4, 2011
6,575 2,000
Aibu na Uoga ni janga kubwa sana. Asikuambie mtu, mtu asikuambia mimi sina mtaji ila ukweli ni Aibu na Uoga.

Kuna Mtumishi mmoja Baba yake na Mkurugenzi wa Jamiiforums aliwahi tuambia mafanikio huanza pale Uoga na Aibu zinapoondoka

Tuna hivi vitu moyoni.

1.Wazazi watanielewa kweli kijana wao mwenye Degree?

2.Hivi Shemeji yangu akisiki itakuwaje?

3.Hivi Mchumba wangu atanielewa kweli kwamba ni mimi niliyekuwa Chuo?

4.Marafiki zangu watanielewa kweli?

5. Majirani vipi?

Combination ya hivyo vyote humfanya mtu aone bora akae tu kisingizio kiwe sina mtaji

Unaondoaje AIBU na UOGA?

1. Jitoe ufahamu kabisa, weka pamba masikioni hapa na pale ambapo inafikia stage wanakuona kama unerukwa na akili ila wewe na Mungu wako ndio mnajua unacho kifanya.

Hii hatua ni ngumu sana kujitoa ufahamu sio mchezo manake inabidi kweli uwe na roho ya Chuma au Roho ngumu sana.

2. Hama nenda mbali na wanako kujua. Kama home ni Korogwe pale na wanakujua ulikuwa Chuo kikuu basi nenda Karatu Arusha anza makazi pale fanya chochote hata kuuza vocha na sigara na karanga.

Hii ni njia nzuri sana manake unakuwa mbali sana na unakuwa kivyako vyako au na mshikaji wako na mnafanya mambo.

3. Usijaribu kumshirikisha mtu yoyote yule hata Wazazi wako kwamba unataka kufanya nini au unafanya nini bali waje kujua wenyewe baadae sana.

Kitendo cha kuwaambia Wazazi au Ndugu na Jamaa na Marafiki kwamba kwa sasa nataka nifungue kibanda cha kuuza Vocha wengi hawatakuelewa na watakukatisha tamaa balaaa.

Hii inachangiwa na imani kwamba Chuo kikuu ni ni levo tofauti.

4. Jitenge na ma-met zako au Marafiki walio na kazi watakutia Uoga zaidi manake ukiwa unawaona wanatokea kazini utaumia zaidi.

5. Washikaji na ndugu na Jamaa wakiwa wanakupigia pigia simu wewe wajibu in short una kibarua unafanya sehemu. Ili kukata mazungumzo manake wakipiga ukaawambia unauza Vocha Dah, hawatakuelewa kabisa kabisa.

Jitahidi kuwakatisha na wajibu in short tu.

MWISHO
Achana na kwamba una Degree hata ikibidi watu wengi waambie hujaenda shule au uliishia tuu Form four.

Ondoa Aibu na Uoga wacha watu wakuone kama umechanganyikiwa, wacha wakuseme, wacha wakucheke, wacha wakukebehi ila mwisho wa siku unajua unacho kifanya.

Kwa sasa Naishia hapa.

MAFANIKIO HUANZA PALE TU AIBU NA UOGA VINAPO TOWEKA
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
18,850
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
18,850 2,000
Hilo swala la aibu ni kama tope zito na degree ni kama gari isiyo 4 wheel drive 😂😂😂 ambayo imezoea lami tu.

Ili kulikabili hilo tope inabidi kujitoa ufahamu na kuchukulia kama gari ina 4 wheel drive tu bila kujali itakwama au la ila cha msingi ipite tu. Huo moyo wa kukaza umechelewesha wengi kutoboa kimaisha na kuanza kujitegemea na wengi ndio hujificha kwenye kivuli cha kukosa mtaji. Ego zitatuua njaa hakiyanani😂😂😂
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
18,850
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
18,850 2,000
Naungana na mtoa mada kwenye kukimbia mji au mtaa wa nyumbani ili kufanya yako kwa uhuru maana hata mimi imenisaidia hio 😂😂😂 watu hawatakiwi kujua unapambanaje na hata mambo ya kuji expose kwenye mitandao ya kikuda unayaweka kando.
 
BOB OS

BOB OS

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Messages
2,641
Points
2,000
BOB OS

BOB OS

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2011
2,641 2,000
Naungana na mtoa mada kwenye kukimbia mji au mtaa wa nyumbani ili kufanya yako kwa uhuru maana hata mimi imenisaidia hio 😂😂😂 watu hawatakiwi kujua unapambanaje na hata mambo ya kuji expose kwenye mitandao ya kikuda unayaweka kando.
😁😁😁😁kukimbia mji naunga mkono hoja,,,,,,,,
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
9,115
Points
2,000
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
9,115 2,000
Aibu na Uoga ni janga kubwa sana. Asikuambie mtu, mtu asikuambia mimi sina mtaji ila ukweli ni Aibu na Uoga.

Kuna Mtumishi mmoja Baba yake na Mkurugenzi wa Jamiiforum aliwahi tuambia mafanikio huanza pale Uoga na Aibu zinapo ondoka

Tuna hivi vitu moyoni.

1.Wazazi watanielewa kweli kijana wao mwenyr Degree?

2.Hivi Shemeji yangu akisiki itakuwaje?

3.Hivi Mchumba wangu atanielewa kweli kwamba ni mimi nilie kuwa Chuo?

4.Marafiki zangu watanielewa kweli?

5. Majirani vipi?

Combinationa ya hivyo vyote humfanya mtu aone bora akae tu kisingizuoa kiwe sina mtaji

Unaodoaje AIBU na UOGA?

1. Jitoe ufahamu kabisa weka pamba masikioni hapa ni pale ambapo inafikia stage wanakuona kama unerukwa na akili ila wewe na Mungu wako unajua unacho kifanya
Hii hatua ni ngumu sana kujitoa ufahamu sio mchezo make inabidi kweli uwe na roho ya Chuma au Roho ngumu sana.

2. Hama nenda mbali na wanako kujua.
Kama home ni Korogwe pale na wanakujua ulikuwa Chuo kikuu basi nenda Karatu Arusha anza makazi pale fanya chochote hata kuuza vocha na sigara na karanga.
Hii ni njia nzuri sana make unakuwa mbali sana na unakuwa kivyako vyako au na mshikaji wako na mnafanya mambo.

3. Usiharibu kumshirikisha mtu yoyote yule hata Wazazi wako kwamba unataka kufanya nini au unafanya nini bali waje kujua wenyewe baadae sana.

Kitendo cha kuwaambia Wazazi au Ndugu na Jamaa na Marafiki kwamba kwa sasa nataka nifungue kibanfa cha kuuza Vocha wengi hawatakuelewa na watakukatisha tamaa balaaa.
Hii inachangiwa na imani kwamba Chuo kikuu ni ni levo tofauti.

4. Jitenge na mamet zako au Marafiki walio na kazi watakutuia Uoga zaidi make ukiwa unawaona wanatokea kazini utaumia zaidi.

5. Washikaji na ndugu na Jamaa wakiwa wanakupigia pigia simu wewe wajibu in short una kibalua unafanya sehemu. Ili kukata

Make wakipiga ukaawambia unauza Vocha Dah hawatakuelewa kabisa kabisa.

Jitahidi kuwakatisha na wajibu in short tu.MWISHO
Achana na kwamba una Degree hata ikibidi watu wengi waambie hujaenda shule au uliishia tu Form four.

Ondoa Aibu na Uoga wacha watu wakuone kama umechanganyikiwa, wacha wakuseme, wacha wakucheke, wacha wakukebehi ila mwosho wa siku unajua unacho kifanya.

Kwa sasa Naishia hapa.

MAFANIKIO HUANZA PALE TU AIBU NA UOGA VINAPO TOWEKA
Binafsi nimekuelewa sana mkuu.
 
Chief M-255

Chief M-255

Member
Joined
May 21, 2019
Messages
59
Points
150
Chief M-255

Chief M-255

Member
Joined May 21, 2019
59 150
Ujumbe mzuri... ila kuamua kufanya vitu kwa kujificha utakuwa ni mzigo kwenda kwenye mafanikio tarajiwa...cha msingi
Hapana kk...mazingira uliyokulia na baharia wanakujua fika ni ngumu sana kutoboa asee maana kuna baadhi ya vitu ama mambo japokuwa yana masirahi lakini huwezi kuyafanya ili kulinda utu wako na nafsi isisinyae mkuu....
 
Chief M-255

Chief M-255

Member
Joined
May 21, 2019
Messages
59
Points
150
Chief M-255

Chief M-255

Member
Joined May 21, 2019
59 150
Aibu na Uoga ni janga kubwa sana. Asikuambie mtu, mtu asikuambia mimi sina mtaji ila ukweli ni Aibu na Uoga.

Kuna Mtumishi mmoja Baba yake na Mkurugenzi wa Jamiiforum aliwahi tuambia mafanikio huanza pale Uoga na Aibu zinapo ondoka

Tuna hivi vitu moyoni.

1.Wazazi watanielewa kweli kijana wao mwenyr Degree?

2.Hivi Shemeji yangu akisiki itakuwaje?

3.Hivi Mchumba wangu atanielewa kweli kwamba ni mimi nilie kuwa Chuo?

4.Marafiki zangu watanielewa kweli?

5. Majirani vipi?

Combinationa ya hivyo vyote humfanya mtu aone bora akae tu kisingizuoa kiwe sina mtaji

Unaodoaje AIBU na UOGA?

1. Jitoe ufahamu kabisa weka pamba masikioni hapa ni pale ambapo inafikia stage wanakuona kama unerukwa na akili ila wewe na Mungu wako unajua unacho kifanya
Hii hatua ni ngumu sana kujitoa ufahamu sio mchezo make inabidi kweli uwe na roho ya Chuma au Roho ngumu sana.

2. Hama nenda mbali na wanako kujua.
Kama home ni Korogwe pale na wanakujua ulikuwa Chuo kikuu basi nenda Karatu Arusha anza makazi pale fanya chochote hata kuuza vocha na sigara na karanga.
Hii ni njia nzuri sana make unakuwa mbali sana na unakuwa kivyako vyako au na mshikaji wako na mnafanya mambo.

3. Usiharibu kumshirikisha mtu yoyote yule hata Wazazi wako kwamba unataka kufanya nini au unafanya nini bali waje kujua wenyewe baadae sana.

Kitendo cha kuwaambia Wazazi au Ndugu na Jamaa na Marafiki kwamba kwa sasa nataka nifungue kibanfa cha kuuza Vocha wengi hawatakuelewa na watakukatisha tamaa balaaa.
Hii inachangiwa na imani kwamba Chuo kikuu ni ni levo tofauti.

4. Jitenge na mamet zako au Marafiki walio na kazi watakutuia Uoga zaidi make ukiwa unawaona wanatokea kazini utaumia zaidi.

5. Washikaji na ndugu na Jamaa wakiwa wanakupigia pigia simu wewe wajibu in short una kibalua unafanya sehemu. Ili kukata

Make wakipiga ukaawambia unauza Vocha Dah hawatakuelewa kabisa kabisa.

Jitahidi kuwakatisha na wajibu in short tu.MWISHO
Achana na kwamba una Degree hata ikibidi watu wengi waambie hujaenda shule au uliishia tu Form four.

Ondoa Aibu na Uoga wacha watu wakuone kama umechanganyikiwa, wacha wakuseme, wacha wakucheke, wacha wakukebehi ila mwosho wa siku unajua unacho kifanya.

Kwa sasa Naishia hapa.

MAFANIKIO HUANZA PALE TU AIBU NA UOGA VINAPO TOWEKA
Kweli mkuuu
 
BradFord93

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
474
Points
1,000
BradFord93

BradFord93

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2017
474 1,000
Umenena vema mkuu...!!naamini mpk sasa kuna graduates wanasubiri serikali itoe ajira hasa kpnd hki cha uchaguz

Wanasahau kuwa huyu mzee wetu anaenda kinyume na mazoea....ajira hatoi...uchaguz utakuja na tutamchagua..!!

Just kwa sasa n kila mmoja aamke alipo...awasiliane na wenzie ambao kidogo wamejiajiri kuomba ushauri na ujuzi

Plan way out....na kaz ianze...!!
Umri waenda na future ndo inapotea hvyo
Tujitahd kwenda na mda...!!
 
Forum statistics

Threads 1,325,709
Members 509,271
Posts 32,200,230
Top