juakal
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 587
- 125
Salama wakuu?
Iko wazi kuwa sio vijana wote wanapata ajira baada ya kuhitimu masomo.
Naomba tubadilishane ujuzi jinsi ya kuyakabiri maisha baada ya kuhitimu. Mwenye mapenzi mema anaweza ku8tueleza ni shughuli gani amekuwa akizifanya ili kuingiza chochote mfukoni na aliwezaje kupata hiyo shughuli au kazi.
Kila atakayetoa mchango wake hapa atakuwa amewawezesha au kuwafungua vijana wengi ambao wako kama mimi niliyehitimu chuo yapata miaka mitatu iliyopita nikiwa na vyeti vizuri lakini maisha yanazidi kuwa magumu kila kukicha.
Nawakaribisheni sana.