Graduate, mshahara chini ya milioni moja usifanye kazi

Sasa aache aendelee kugombania Mandazi asubui na wadogo zake Sasa na huko tunakokwenda ellon musk analeta maroboti ya kufanya kazi kwa nzia maofisini na kila sekta Sasa ndugu zangu graduate elimu ilikuwa zamani ukisoma uhakika wa ajira upo Sasa msikilizeni huu upuuzi mtakuja kujuta umri unaenda na kuendelea kuzunguka na bahasha na hapo shemeji unapokaa mwisho wa siku atakufukuza
 
Back
Top Bottom