Grace mnaweza kosana hata kwa yeye kutokutaka kuja gheto lakini ukimfokea ukataka kumuacha anakuja gheto na akija jua hamzungumzii makosa! Akishanipa anaondoka imefika hatua hata nimesahau kanikosea nini! Kumuacha nataka lakini aina hii ya uombaji msamaha ndo imekuwa changamoto kumuepuka grace kila Nikisema mara hii hapati msamaha lkn akija gheto akaniwekea tu mkono kifuani basi ukuta wote niliyomuekea anauvunja