GPA ya 32, maandiko yametimia

GPA ya 32, maandiko yametimia

lusinde utaelewa nini kwenye andiko lilipoangiliwa kama hili la mleta uzi
mtu amalize chuo asijue GPA inaishia ngapi!!!!
mtu asome SUA halafu aseme ipo DODOMA!!!!!
mtu amalize chuo ashindwe kutofautisha uhandisi naudaktari
ndio maana nasema usalam wa taifa wetu akili zao zimekuwa ndogo kama za ccm
maigizo yao yanatia aibu
usingeunga mkono chama chako kuongozwa na mtu mwenye div 0
 
akili yako mbovu unadhani kila anayeipinga ccm ni wa chama cha upinzani
wengine hatujawahi kuwa na chama lakini hatuhitaji kuwa na chama kujua ccm imeshindwa na imebakia uhuni na ukatili
 
Kwanini hakuchukuliwa hatua, kwa kosa la kujaribu kumdanganya mh rais?
pengine angeenda kupekuliwa angeweza kukutwa na hivyo vyeti feki vya Engineering ya Sua.
 
Propaganda ni neno linalotokana na neno la ki-latini lililotumiwa kihistoria kwa Mara ya kwanza na chombo kipya katika kanisa katoliki kilichoundwa mwaka 1622 ambacho kilijulikana kwa jina la "Congregation de Propaganda" au kwa lugha isiyo rasmi "Propaganda".Ki-latini neno "Propagare" linamaanisha kusambaza yani Spread au Propagate.

NINI LILIKUWA DHUMUNI LA PROPAGANDA
Chombo hiki yaani Congregation de Propaganda kiliundwa mahususi ili kusambaza jumbe na kuhakikisha watu wanaamini katika U-Catholic na hasa ambao awali hawakuwa katika imani hiyo.Mnamo mwaka 1970 neno hili lilianza kutumika katika nyanja ambazo si za kiimani(Secular activities).
Na hatimaye katikati ya karne ya kumi na tisa ilichukua taswira mpya ambayo ni hasi hasa baada ya kuanza kutumika katika siasa(Political Sphere).
Kabla ya hapo na ambapo neno hili limeanza kutumika tayari,Propaganda inatajwa kufanikisha mabadiliko na matukio makubwa ulimwenguni baadhi ni Vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Rumi 44-30 BC,Reformation katika bara Ulaya na Mapinduzi ya Wamarekani(American Revolution) n.k

PROPAGANDA TANZANIA.
Ni miaka 32 sasa tangu Rais wa kwanza wa Tanzania hayati mwl Julius Nyerere ang'atuke,maadui wakuu watatu Ujinga,Maradhi na Umasikini graph yake inapanda kwa kasi,Tumeongeza Ujinga,Maradhi na Umasikini umekithiri,Mission failed.
Adui wa CCM si hao watatu tena,Sasa CCM adui yake namba moja ni Elimu na inafanikiwa kwa kasi sana kupitia propaganda zake mahsusi.
Si rahisi sana kueleweka pasipo kazi ya ziada katika jambo zito kama hill ambalo kwalo serikali ya Chama cha mapinduzi inaanza kufanikiwa pakubwa sana katika hili...Hivi sasa kote duniani serikali hutumia Propaganda kufanikisha Maslahi yake,kwa maana hii bila shaka Tanzania ni jambo ambalo lipo.

GPA YA 32
Binafsi nina mashaka makubwa na kijana yule mwenye GPA ya 32 na SUA ya Dodoma badala ya Morogoro,Pamoja na maelezo yake mengi sana yenye utata.
Kwanza,tukiangalia kwa muktadha kwamba Kijana yule alidhamiria kumdanganya mheshimiwa kuhusu elimu yake ili apate ajira,swali ninalojiuliza vipi kama Rais angempatia ajira angelipeleka vyeti gani?
Pili,kama yule bwana alikosa Confidence katika umati ule bado nashindwa kisadiki kwamba inaweza kupelekea aongee mambo ya ajabu kama Degree ya Udaktari wa Engineering, Non Sense,kwa msomi hata temper isingelikuana namna ile.
Tatu,Kama alikua ni kichaa yani mgonjwa wa akili basi it makes sense.

TUKO KATIKA NYAKATI GANI
Ninaomba niwakumbushe ndugu zangu,hivi sasa tuko katika nyakati ambapo ajira ni tatizo sugu ambalo serikali yetu ya Ccm imezidiwa,kuna umuhimu mkubwa was serikali kutafuta kichaka cha kujifichia.

PROPAGANDA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI
Kwa hakika tukio kijana yule ni la kutengenezwa kwa zaidi ya 100%,ili umma uamini yafuatayo
01.Wasomi hawapati ajira na ni haki yao ya msingi kutopata ajira kwasababu hawakuwa makini na walochobobea.
02.Wasomi hawapaswi kusikilozwa katika jamii ya Kitanzania kwa sababu hawana tofauti na wasiosoma,tukio like lilitengenezwa mahsusi ili kuuhadaa umma kutokuwasikiliza wasomi kwasababu CCM inaelewa wasomi na adui wao nambari moja.

Shame On CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
Your hypothesis and conclusion are a contradiction, and antithetical. Anyway, tuachane na hayo.
Kwa kuwa ulichoeleza n fikra zako binafsi, basi na mm ninayohaki ya kufikiri.
Mm nadhani hyo "msomi " aliandaliwa na wapinzani ngazi za chini, on their own initiative. Wanajua kuwa kuna vijana wengi wamesoma, hawana ajira. Kwa hiyo msomi huyu (ambaye nadhan n mtu vocal lakn bila elimu) alichaguliwa kuja kuliamsha dude...kwamba, aseme kwa Rais, Rais ajichanganye, vijana waingie mtaaan. Bahati mbaya kwa walioandaa comedy hii, alzidiwa ujanja...
 
Hapo hakuna propaganda wala sinema kama wengi wanavyoamini au kutaka kujiaminisha. Kilichopo hapo ni upinzani kwa Mheshimiwa Rais na aina ya wapinzani tulio nao. Kama rais asingemuuliza maswali basi ingeonekana moja kwa moja kuwa rais ameshindwa kwenye swala la ajira. Kumbe mtu mwenyewe aliyeuliza swali hata hiyo sifa ya kuajiriwa hana.. Alichotakiwa muulizaji ni kusema ukweli kuwa hajasoma. Tofauti na hapo ni kujidhalilisha na kuionyesha jamii kuwa wapinzani hawana upeo wa fikra bali wanakaririshwa hoja kwa mapenzi ya viongozi wao.
 
Serikali ya CCM imezidiwa!!. Mkuu mleta mada tazama tu idadi ya wanaopata mikopo ndipo utajua kuwa serikali haijazidiwa.

Tazama wanaopata huduma mahospitalini kila kukicha ndio utajua kuwa serikali haijazidiwa.

Tazama sekta ya mawasiliano inavyozidi kukua ndio utajua kuwa haijazidiwa. Waliozidiwa maarifa ni wanasiasa ambao wanaongozwa na mtu mmoja kwa miaka 14 na hawana ujanja wowote wa kupata mwingine mwenye maono mapya yenye kuwa na faida kwenye chama chao!!.

Yule jamaa ni mmoja wa wabongo wengi ambao hupenda kutaka kuonekana kuwa wanajua kila kitu, japo wanachokiongelea hawakifahamu.

Yule jamaa ni sehemu tu ya kizazi cha wapenda uongo, na ni kizazi kitakachopotea ndani ya miaka michache ijayo kwani wasomi wa kweli ndio wenye soko kwa sasa na kuendelea.

Ana bahati kwamba rais aliamua kuachana nae baada ya kumjua ni mtu mtafuta sifa za kwenye halaiki. Alichokifanya ni kosa la jinai, kudanganya kuwa una elimu fulani wakati huna ni sawa sawa na kutengeneza cheti feki kwenye stationary fulani.
Unaandika nini na unamwandikia nani asiyezijua shida za mikopo ya kusomeshea wanetu? Inatolewa kwa kiwango kilichoombwa na kwa idadi iliyoomba? Kama ndivyo wale wanaoilalamikka bodi ni warundi siyo? Huko mahosptalini ulikwenda huko mara ya mwisho? Huna ulilloliona la ukosefu wa dawa na vifaatiba? Mbona unaongopa as if unaishi ughaibuni au una mgeni kutoka huko unamsimulia asiyoyajua? Nakushauri tu kuwa, hakuna dhambi mbaya kwa muumba wako kama kuidanganya nafsi yako mwenyewe ambayo yeye anaishi ndani yake! Au wewe ni mkristo jina huujui ukrisyo wako na mipaka yake? Acha njaa pambana!
 
Propaganda ni neno linalotokana na neno la ki-latini lililotumiwa kihistoria kwa Mara ya kwanza na chombo kipya katika kanisa katoliki kilichoundwa mwaka 1622 ambacho kilijulikana kwa jina la "Congregation de Propaganda" au kwa lugha isiyo rasmi "Propaganda".Ki-latini neno "Propagare" linamaanisha kusambaza yani Spread au Propagate.

NINI LILIKUWA DHUMUNI LA PROPAGANDA
Chombo hiki yaani Congregation de Propaganda kiliundwa mahususi ili kusambaza jumbe na kuhakikisha watu wanaamini katika U-Catholic na hasa ambao awali hawakuwa katika imani hiyo.Mnamo mwaka 1970 neno hili lilianza kutumika katika nyanja ambazo si za kiimani(Secular activities).
Na hatimaye katikati ya karne ya kumi na tisa ilichukua taswira mpya ambayo ni hasi hasa baada ya kuanza kutumika katika siasa(Political Sphere).
Kabla ya hapo na ambapo neno hili limeanza kutumika tayari,Propaganda inatajwa kufanikisha mabadiliko na matukio makubwa ulimwenguni baadhi ni Vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Rumi 44-30 BC,Reformation katika bara Ulaya na Mapinduzi ya Wamarekani(American Revolution) n.k

PROPAGANDA TANZANIA.
Ni miaka 32 sasa tangu Rais wa kwanza wa Tanzania hayati mwl Julius Nyerere ang'atuke,maadui wakuu watatu Ujinga,Maradhi na Umasikini graph yake inapanda kwa kasi,Tumeongeza Ujinga,Maradhi na Umasikini umekithiri,Mission failed.
Adui wa CCM si hao watatu tena,Sasa CCM adui yake namba moja ni Elimu na inafanikiwa kwa kasi sana kupitia propaganda zake mahsusi.
Si rahisi sana kueleweka pasipo kazi ya ziada katika jambo zito kama hill ambalo kwalo serikali ya Chama cha mapinduzi inaanza kufanikiwa pakubwa sana katika hili...Hivi sasa kote duniani serikali hutumia Propaganda kufanikisha Maslahi yake,kwa maana hii bila shaka Tanzania ni jambo ambalo lipo.

GPA YA 32
Binafsi nina mashaka makubwa na kijana yule mwenye GPA ya 32 na SUA ya Dodoma badala ya Morogoro,Pamoja na maelezo yake mengi sana yenye utata.
Kwanza,tukiangalia kwa muktadha kwamba Kijana yule alidhamiria kumdanganya mheshimiwa kuhusu elimu yake ili apate ajira,swali ninalojiuliza vipi kama Rais angempatia ajira angelipeleka vyeti gani?
Pili,kama yule bwana alikosa Confidence katika umati ule bado nashindwa kisadiki kwamba inaweza kupelekea aongee mambo ya ajabu kama Degree ya Udaktari wa Engineering, Non Sense,kwa msomi hata temper isingelikuana namna ile.
Tatu,Kama alikua ni kichaa yani mgonjwa wa akili basi it makes sense.

TUKO KATIKA NYAKATI GANI
Ninaomba niwakumbushe ndugu zangu,hivi sasa tuko katika nyakati ambapo ajira ni tatizo sugu ambalo serikali yetu ya Ccm imezidiwa,kuna umuhimu mkubwa was serikali kutafuta kichaka cha kujifichia.

PROPAGANDA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI
Kwa hakika tukio kijana yule ni la kutengenezwa kwa zaidi ya 100%,ili umma uamini yafuatayo
01.Wasomi hawapati ajira na ni haki yao ya msingi kutopata ajira kwasababu hawakuwa makini na walochobobea.
02.Wasomi hawapaswi kusikilozwa katika jamii ya Kitanzania kwa sababu hawana tofauti na wasiosoma,tukio like lilitengenezwa mahsusi ili kuuhadaa umma kutokuwasikiliza wasomi kwasababu CCM inaelewa wasomi na adui wao nambari moja.

Shame On CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
#3. Wenye elimu sahihi wamepata ajira, ila wale waongo waloghushoi vyeti ndio wanalia lia.Ndio maana aliulizwa maswali na akawa haeleweki hata kasoma wapi-Kifupi alikuwa anawakilisha wasomi wasiojua kitu na ndio wanaolalamika ajira.
 
Hilo tukio nimeishia kulisoma hapa na kwingine ila sijawahi kufungua hiyo clip pamoja na kwamba imerushwa mara kibao kwenye groups, maramoja hisia zangu zilinipelekea kuamini kuwa ni jambo la kupangwa na tena linapangwa na mamlaka ya juu kabisa, binafsi nauona kama utoto au kutokujiamini, kizazi chenye akili katika Africa kinapotea kwa kasi sana, naamini kina Mandela, Nyerere, Annan, na wengine wasingeweza kufanya huu utoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilipoona watu wanashauti Mwenyekiti akawaambia muache amalize kujielezea nilishtuka
 
Propaganda ni neno linalotokana na neno la ki-latini lililotumiwa kihistoria kwa Mara ya kwanza na chombo kipya katika kanisa katoliki kilichoundwa mwaka 1622 ambacho kilijulikana kwa jina la "Congregation de Propaganda" au kwa lugha isiyo rasmi "Propaganda".Ki-latini neno "Propagare" linamaanisha kusambaza yani Spread au Propagate.

NINI LILIKUWA DHUMUNI LA PROPAGANDA
Chombo hiki yaani Congregation de Propaganda kiliundwa mahususi ili kusambaza jumbe na kuhakikisha watu wanaamini katika U-Catholic na hasa ambao awali hawakuwa katika imani hiyo.Mnamo mwaka 1970 neno hili lilianza kutumika katika nyanja ambazo si za kiimani(Secular activities).
Na hatimaye katikati ya karne ya kumi na tisa ilichukua taswira mpya ambayo ni hasi hasa baada ya kuanza kutumika katika siasa(Political Sphere).
Kabla ya hapo na ambapo neno hili limeanza kutumika tayari,Propaganda inatajwa kufanikisha mabadiliko na matukio makubwa ulimwenguni baadhi ni Vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Rumi 44-30 BC,Reformation katika bara Ulaya na Mapinduzi ya Wamarekani(American Revolution) n.k

PROPAGANDA TANZANIA.
Ni miaka 32 sasa tangu Rais wa kwanza wa Tanzania hayati mwl Julius Nyerere ang'atuke,maadui wakuu watatu Ujinga,Maradhi na Umasikini graph yake inapanda kwa kasi,Tumeongeza Ujinga,Maradhi na Umasikini umekithiri,Mission failed.
Adui wa CCM si hao watatu tena,Sasa CCM adui yake namba moja ni Elimu na inafanikiwa kwa kasi sana kupitia propaganda zake mahsusi.
Si rahisi sana kueleweka pasipo kazi ya ziada katika jambo zito kama hill ambalo kwalo serikali ya Chama cha mapinduzi inaanza kufanikiwa pakubwa sana katika hili...Hivi sasa kote duniani serikali hutumia Propaganda kufanikisha Maslahi yake,kwa maana hii bila shaka Tanzania ni jambo ambalo lipo.

GPA YA 32
Binafsi nina mashaka makubwa na kijana yule mwenye GPA ya 32 na SUA ya Dodoma badala ya Morogoro,Pamoja na maelezo yake mengi sana yenye utata.
Kwanza,tukiangalia kwa muktadha kwamba Kijana yule alidhamiria kumdanganya mheshimiwa kuhusu elimu yake ili apate ajira,swali ninalojiuliza vipi kama Rais angempatia ajira angelipeleka vyeti gani?
Pili,kama yule bwana alikosa Confidence katika umati ule bado nashindwa kisadiki kwamba inaweza kupelekea aongee mambo ya ajabu kama Degree ya Udaktari wa Engineering, Non Sense,kwa msomi hata temper isingelikuana namna ile.
Tatu,Kama alikua ni kichaa yani mgonjwa wa akili basi it makes sense.

TUKO KATIKA NYAKATI GANI
Ninaomba niwakumbushe ndugu zangu,hivi sasa tuko katika nyakati ambapo ajira ni tatizo sugu ambalo serikali yetu ya Ccm imezidiwa,kuna umuhimu mkubwa was serikali kutafuta kichaka cha kujifichia.

PROPAGANDA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI
Kwa hakika tukio kijana yule ni la kutengenezwa kwa zaidi ya 100%,ili umma uamini yafuatayo
01.Wasomi hawapati ajira na ni haki yao ya msingi kutopata ajira kwasababu hawakuwa makini na walochobobea.
02.Wasomi hawapaswi kusikilozwa katika jamii ya Kitanzania kwa sababu hawana tofauti na wasiosoma,tukio like lilitengenezwa mahsusi ili kuuhadaa umma kutokuwasikiliza wasomi kwasababu CCM inaelewa wasomi na adui wao nambari moja.

Shame On CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wamekugongea likes kama kawaida. Duuh! Mbona una mawazo ambayo ni mufilisi mkuu??! Na mimi naona wewe ni zaidi ya mwenye GPA ya 32.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaandika nini na unamwandikia nani asiyezijua shida za mikopo ya kusomeshea wanetu? Inatolewa kwa kiwango kilichoombwa na kwa idadi iliyoomba? Kama ndivyo wale wanaoilalamikka bodi ni warundi siyo? Huko mahosptalini ulikwenda huko mara ya mwisho? Huna ulilloliona la ukosefu wa dawa na vifaatiba? Mbona unaongopa as if unaishi ughaibuni au una mgeni kutoka huko unamsimulia asiyoyajua? Nakushauri tu kuwa, hakuna dhambi mbaya kwa muumba wako kama kuidanganya nafsi yako mwenyewe ambayo yeye anaishi ndani yake! Au wewe ni mkristo jina huujui ukrisyo wako na mipaka yake? Acha njaa pambana!
Hakuna anayeweza kuyabadilisha maoni yako. Kulalamika bila ya kuja na suluhisho ni sifa nyingine ya mtanzania.

Mkuu hakuna jema kwako, na hakuna wa kukuzuia kuwaza jinsi unavyowaza.
 
Yule ni chizi bwana huwez act like that sehem km ile
 
Back
Top Bottom