balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,513
- 15,154
Dk.Shika,Rashid Mashaushi,Mama wa mapapai,muomba nauli wa bandarini na degree 32,kwa nini yanatokea awamu hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa ccm kila kitu kinawezekana hadi GPA ya 32.
Nabii Tito kweli alikuwa na matatizo.Wale akina Dr shika, nabii tito na huyu wa GPA 32 ni watu wa kitengo hutokea kipindi fulani ku interfere ishu zilizopo mezani hasa kama mazingira ya ufyatuaji lisasi yapo vibaya kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulioneshwa wapi amejikata? Japo nabii tito yupo toka 2008 anapiga mishe zakeNabii Tito kweli alikuwa na matatizo.
Alifikia hatua alijikata hadi matumbo unafikiri ni propaganda?
Walimuandaa kwa makusudi maalum ya kuwahadaa 'wadanganyika'!Basi nimeamini watu tunawaza tofauti..
Mimi ninachojua yule jamaa sio mzima wa akili .
Yaani walifanya mistake ya kumpa chizi mic
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mawazo yako ulio andika in propaganda ya CHADEMA! Eti?Propaganda ni neno linalotokana na neno la ki-latini lililotumiwa kihistoria kwa Mara ya kwanza na chombo kipya katika kanisa katoliki kilichoundwa mwaka 1622 ambacho kilijulikana kwa jina la "Congregation de Propaganda" au kwa lugha isiyo rasmi "Propaganda".Ki-latini neno "Propagare" linamaanisha kusambaza yani Spread au Propagate.
NINI LILIKUWA DHUMUNI LA PROPAGANDA
Chombo hiki yaani Congregation de Propaganda kiliundwa mahususi ili kusambaza jumbe na kuhakikisha watu wanaamini katika U-Catholic na hasa ambao awali hawakuwa katika imani hiyo.Mnamo mwaka 1970 neno hili lilianza kutumika katika nyanja ambazo si za kiimani(Secular activities).
Na hatimaye katikati ya karne ya kumi na tisa ilichukua taswira mpya ambayo ni hasi hasa baada ya kuanza kutumika katika siasa(Political Sphere).
Kabla ya hapo na ambapo neno hili limeanza kutumika tayari,Propaganda inatajwa kufanikisha mabadiliko na matukio makubwa ulimwenguni baadhi ni Vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Rumi 44-30 BC,Reformation katika bara Ulaya na Mapinduzi ya Wamarekani(American Revolution) n.k
PROPAGANDA TANZANIA.
Ni miaka 32 sasa tangu Rais wa kwanza wa Tanzania hayati mwl Julius Nyerere ang'atuke,maadui wakuu watatu Ujinga,Maradhi na Umasikini graph yake inapanda kwa kasi,Tumeongeza Ujinga,Maradhi na Umasikini umekithiri,Mission failed.
Adui wa CCM si hao watatu tena,Sasa CCM adui yake namba moja ni Elimu na inafanikiwa kwa kasi sana kupitia propaganda zake mahsusi.
Si rahisi sana kueleweka pasipo kazi ya ziada katika jambo zito kama hill ambalo kwalo serikali ya Chama cha mapinduzi inaanza kufanikiwa pakubwa sana katika hili...Hivi sasa kote duniani serikali hutumia Propaganda kufanikisha Maslahi yake,kwa maana hii bila shaka Tanzania ni jambo ambalo lipo.
GPA YA 32
Binafsi nina mashaka makubwa na kijana yule mwenye GPA ya 32 na SUA ya Dodoma badala ya Morogoro,Pamoja na maelezo yake mengi sana yenye utata.
Kwanza,tukiangalia kwa muktadha kwamba Kijana yule alidhamiria kumdanganya mheshimiwa kuhusu elimu yake ili apate ajira,swali ninalojiuliza vipi kama Rais angempatia ajira angelipeleka vyeti gani?
Pili,kama yule bwana alikosa Confidence katika umati ule bado nashindwa kisadiki kwamba inaweza kupelekea aongee mambo ya ajabu kama Degree ya Udaktari wa Engineering, Non Sense,kwa msomi hata temper isingelikuana namna ile.
Tatu,Kama alikua ni kichaa yani mgonjwa wa akili basi it makes sense.
TUKO KATIKA NYAKATI GANI
Ninaomba niwakumbushe ndugu zangu,hivi sasa tuko katika nyakati ambapo ajira ni tatizo sugu ambalo serikali yetu ya Ccm imezidiwa,kuna umuhimu mkubwa was serikali kutafuta kichaka cha kujifichia.
PROPAGANDA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI
Kwa hakika tukio kijana yule ni la kutengenezwa kwa zaidi ya 100%,ili umma uamini yafuatayo
01.Wasomi hawapati ajira na ni haki yao ya msingi kutopata ajira kwasababu hawakuwa makini na walochobobea.
02.Wasomi hawapaswi kusikilozwa katika jamii ya Kitanzania kwa sababu hawana tofauti na wasiosoma,tukio like lilitengenezwa mahsusi ili kuuhadaa umma kutokuwasikiliza wasomi kwasababu CCM inaelewa wasomi na adui wao nambari moja.
Shame On CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini serikali haiwezi kufanya upuuzi huu.unless kama watanzania hawana akili kabisa,Elimu inatolewa na nani? Kama graduates wetu ni mazuzu shida ni wao au shida ni elimu inayotolewa na serikali ya ccm?Propaganda ni neno linalotokana na neno la ki-latini lililotumiwa kihistoria kwa Mara ya kwanza na chombo kipya katika kanisa katoliki kilichoundwa mwaka 1622 ambacho kilijulikana kwa jina la "Congregation de Propaganda" au kwa lugha isiyo rasmi "Propaganda".Ki-latini neno "Propagare" linamaanisha kusambaza yani Spread au Propagate.
NINI LILIKUWA DHUMUNI LA PROPAGANDA
Chombo hiki yaani Congregation de Propaganda kiliundwa mahususi ili kusambaza jumbe na kuhakikisha watu wanaamini katika U-Catholic na hasa ambao awali hawakuwa katika imani hiyo.Mnamo mwaka 1970 neno hili lilianza kutumika katika nyanja ambazo si za kiimani(Secular activities).
Na hatimaye katikati ya karne ya kumi na tisa ilichukua taswira mpya ambayo ni hasi hasa baada ya kuanza kutumika katika siasa(Political Sphere).
Kabla ya hapo na ambapo neno hili limeanza kutumika tayari,Propaganda inatajwa kufanikisha mabadiliko na matukio makubwa ulimwenguni baadhi ni Vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Rumi 44-30 BC,Reformation katika bara Ulaya na Mapinduzi ya Wamarekani(American Revolution) n.k
PROPAGANDA TANZANIA.
Ni miaka 32 sasa tangu Rais wa kwanza wa Tanzania hayati mwl Julius Nyerere ang'atuke,maadui wakuu watatu Ujinga,Maradhi na Umasikini graph yake inapanda kwa kasi,Tumeongeza Ujinga,Maradhi na Umasikini umekithiri,Mission failed.
Adui wa CCM si hao watatu tena,Sasa CCM adui yake namba moja ni Elimu na inafanikiwa kwa kasi sana kupitia propaganda zake mahsusi.
Si rahisi sana kueleweka pasipo kazi ya ziada katika jambo zito kama hill ambalo kwalo serikali ya Chama cha mapinduzi inaanza kufanikiwa pakubwa sana katika hili...Hivi sasa kote duniani serikali hutumia Propaganda kufanikisha Maslahi yake,kwa maana hii bila shaka Tanzania ni jambo ambalo lipo.
GPA YA 32
Binafsi nina mashaka makubwa na kijana yule mwenye GPA ya 32 na SUA ya Dodoma badala ya Morogoro,Pamoja na maelezo yake mengi sana yenye utata.
Kwanza,tukiangalia kwa muktadha kwamba Kijana yule alidhamiria kumdanganya mheshimiwa kuhusu elimu yake ili apate ajira,swali ninalojiuliza vipi kama Rais angempatia ajira angelipeleka vyeti gani?
Pili,kama yule bwana alikosa Confidence katika umati ule bado nashindwa kisadiki kwamba inaweza kupelekea aongee mambo ya ajabu kama Degree ya Udaktari wa Engineering, Non Sense,kwa msomi hata temper isingelikuana namna ile.
Tatu,Kama alikua ni kichaa yani mgonjwa wa akili basi it makes sense.
TUKO KATIKA NYAKATI GANI
Ninaomba niwakumbushe ndugu zangu,hivi sasa tuko katika nyakati ambapo ajira ni tatizo sugu ambalo serikali yetu ya Ccm imezidiwa,kuna umuhimu mkubwa was serikali kutafuta kichaka cha kujifichia.
PROPAGANDA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI
Kwa hakika tukio kijana yule ni la kutengenezwa kwa zaidi ya 100%,ili umma uamini yafuatayo
01.Wasomi hawapati ajira na ni haki yao ya msingi kutopata ajira kwasababu hawakuwa makini na walochobobea.
02.Wasomi hawapaswi kusikilozwa katika jamii ya Kitanzania kwa sababu hawana tofauti na wasiosoma,tukio like lilitengenezwa mahsusi ili kuuhadaa umma kutokuwasikiliza wasomi kwasababu CCM inaelewa wasomi na adui wao nambari moja.
Shame On CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti kiroho Mshana okoka braza achana na matunguli..!Nimenote kitu hapo miaka 32 tangu mchonga ang'atuke madarakani... Na GPA ya 32... Kiroho ina tafsiri yake pana sana japo ni tukio lenye viashiria vyote vya kutengenezwa
Jr![]()
Katika zama hizi ambazo Jiwe anahofia kutukanwa hata kwenye social media tu, wasingeweza kumpa mic kichaa. So ile haikuwa mistake. Well prepared in advanceBasi nimeamini watu tunawaza tofauti..
Mimi ninachojua yule jamaa sio mzima wa akili .
Yaani walifanya mistake ya kumpa chizi mic
Mimi nilipoona jamaa anasema "nilikuja Jana usiku na nikalala hapa kukusubiri" nikajua basi hili ni bonge la sinema!
Alikuja akijua kuwa rais lazima asimame pale.... Bonge la drama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye Conclusion, Ukiangalia kwa jicho pembuzi kama ndivyo wanavyo amini CCM wako sahihi. Makazini na mtaani tunakutana na wasomi wengi sana wa ajabu ajabu. Kwa sie wenye ofisi binafsi inatubidi wakati mwingine tuajiri kwa vigezo vingine nje ya elimu na kununua vyeti.Propaganda ni neno linalotokana na neno la ki-latini lililotumiwa kihistoria kwa Mara ya kwanza na chombo kipya katika kanisa katoliki kilichoundwa mwaka 1622 ambacho kilijulikana kwa jina la "Congregation de Propaganda" au kwa lugha isiyo rasmi "Propaganda".Ki-latini neno "Propagare" linamaanisha kusambaza yani Spread au Propagate.
NINI LILIKUWA DHUMUNI LA PROPAGANDA
Chombo hiki yaani Congregation de Propaganda kiliundwa mahususi ili kusambaza jumbe na kuhakikisha watu wanaamini katika U-Catholic na hasa ambao awali hawakuwa katika imani hiyo.Mnamo mwaka 1970 neno hili lilianza kutumika katika nyanja ambazo si za kiimani(Secular activities).
Na hatimaye katikati ya karne ya kumi na tisa ilichukua taswira mpya ambayo ni hasi hasa baada ya kuanza kutumika katika siasa(Political Sphere).
Kabla ya hapo na ambapo neno hili limeanza kutumika tayari,Propaganda inatajwa kufanikisha mabadiliko na matukio makubwa ulimwenguni baadhi ni Vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Rumi 44-30 BC,Reformation katika bara Ulaya na Mapinduzi ya Wamarekani(American Revolution) n.k
PROPAGANDA TANZANIA.
Ni miaka 32 sasa tangu Rais wa kwanza wa Tanzania hayati mwl Julius Nyerere ang'atuke,maadui wakuu watatu Ujinga,Maradhi na Umasikini graph yake inapanda kwa kasi,Tumeongeza Ujinga,Maradhi na Umasikini umekithiri,Mission failed.
Adui wa CCM si hao watatu tena,Sasa CCM adui yake namba moja ni Elimu na inafanikiwa kwa kasi sana kupitia propaganda zake mahsusi.
Si rahisi sana kueleweka pasipo kazi ya ziada katika jambo zito kama hill ambalo kwalo serikali ya Chama cha mapinduzi inaanza kufanikiwa pakubwa sana katika hili...Hivi sasa kote duniani serikali hutumia Propaganda kufanikisha Maslahi yake,kwa maana hii bila shaka Tanzania ni jambo ambalo lipo.
GPA YA 32
Binafsi nina mashaka makubwa na kijana yule mwenye GPA ya 32 na SUA ya Dodoma badala ya Morogoro,Pamoja na maelezo yake mengi sana yenye utata.
Kwanza,tukiangalia kwa muktadha kwamba Kijana yule alidhamiria kumdanganya mheshimiwa kuhusu elimu yake ili apate ajira,swali ninalojiuliza vipi kama Rais angempatia ajira angelipeleka vyeti gani?
Pili,kama yule bwana alikosa Confidence katika umati ule bado nashindwa kisadiki kwamba inaweza kupelekea aongee mambo ya ajabu kama Degree ya Udaktari wa Engineering, Non Sense,kwa msomi hata temper isingelikuana namna ile.
Tatu,Kama alikua ni kichaa yani mgonjwa wa akili basi it makes sense.
TUKO KATIKA NYAKATI GANI
Ninaomba niwakumbushe ndugu zangu,hivi sasa tuko katika nyakati ambapo ajira ni tatizo sugu ambalo serikali yetu ya Ccm imezidiwa,kuna umuhimu mkubwa was serikali kutafuta kichaka cha kujifichia.
PROPAGANDA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI
Kwa hakika tukio kijana yule ni la kutengenezwa kwa zaidi ya 100%,ili umma uamini yafuatayo
01.Wasomi hawapati ajira na ni haki yao ya msingi kutopata ajira kwasababu hawakuwa makini na walochobobea.
02.Wasomi hawapaswi kusikilozwa katika jamii ya Kitanzania kwa sababu hawana tofauti na wasiosoma,tukio like lilitengenezwa mahsusi ili kuuhadaa umma kutokuwasikiliza wasomi kwasababu CCM inaelewa wasomi na adui wao nambari moja.
Shame On CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo yanashangaza sana, hata kama kapangwa, kwa nn asifubdishwe kwa makini nini cha kusema? Huenda akawa mgonjwa wa akili.Propaganda ni neno linalotokana na neno la ki-latini lililotumiwa kihistoria kwa Mara ya kwanza na chombo kipya katika kanisa katoliki kilichoundwa mwaka 1622 ambacho kilijulikana kwa jina la "Congregation de Propaganda" au kwa lugha isiyo rasmi "Propaganda".Ki-latini neno "Propagare" linamaanisha kusambaza yani Spread au Propagate.