VUVUZELA
JF-Expert Member
- Jun 19, 2010
- 3,103
- 785
Serikali si ngepanga budget kwa hicho hicho ilichonacho kuliko kuwa ombaomba kila siku.
Matumizi mengine ni ya kujitakia na yanatia kinyaa.
Wabunge 100 wa viti vya kuteuliwa? Wa nini? Hao wabunge waliochaguliwa si wanatosha!
Magari ya kifahari, nyumba kwaajili ya watumishi wa serikali, safari kila kukicha zisizokuwa na manufaa etc