Government coffers are empty | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Government coffers are empty

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAK, Feb 10, 2011.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,878
  Likes Received: 83,359
  Trophy Points: 280
  Govt seeks emergency support from donors Thursday,
  10 February 2011 00:46

  By The Citizen Reporters
  Dar es Salaam. The government has appealed for additional funding from donors to meet an urgent shortfall in its 2010/11 Budget.

  However, a letter sent to a number of donors and signed by Finance and Economic Affairs Permanent Secretary Ramadhan Khijjah does not specify the amount of money needed to plug the Budget gap.

  Finance Minister Mustafa Mkulo last June tabled a Sh11.6 trillion Budget, of which more than Sh7.79 trillion was for recurrent expenditure and about Sh3.81 trillion for development projects.

  Mr Khijjah says in the letter dated January 19 that in the course of implementing the Budget, unforeseen challenges have emerged that prompted the government to bank on emergency expenditure. The major challenges include electricity generation, where government has been forced to purchase more fuel to curtail power shortages on the national grid.

  Most parts of the country go without electricity for five days a week, courtesy of a punitive rationing schedule blamed on low water levels at major hydroelectricity dams, especially Mtera and problems related to gas production in Songosongo.As a result, the government has had to purchase more fuel to run heavy furnace oil (FHO) turbines to supplement power on the national grid.

  Mr Khijjah says food shortage is another challenge, adding that the government has had to incur extra costs to boost national food reserves in the wake of inadequate rainfall in many parts of the country.Briefing MPs in Dodoma on Monday, Prime Minister Mizengo Pinda said at least 36 districts in 13 regions were facing acute food shortages.

  Mr Khijjah says in his letter that extra funds are also needed to finance the transfer of primary education from the Ministry of Education and Vocational Training to local government authorities.President Jakaya Kikwete announced the changes when he unveiled his Cabinet after last year's General Election. He said local governments to a large extent administered primary education matters, adding that there was a need to transfer the docket to give it more focus.

  Mr Khijjah says the budget financing gap became apparent during the Mid Year Budget Review that assessed performance and determined the course of action to be taken during the second half of the current financial year.

  "Challenges have been indentified, especially with regard to shortfalls in revenue collection against a projection of close to 10 per cent and continued lack of rainfall, which has affected agricultural activities. All these impact negatively on the implementation of the budget, causing an unexpected funding gap, which needs financing to ensure that we stay on course," he says.

  The letter has been copied to a number of development partners, particularly those comprising the General Budget Support (GBS) group, including the World Bank, European Commission and the African Development Bank.It has also been copied to the development cooperation offices in the embassies of Canada, Norway and Sweden. Also on the list are the counsellor for economic affairs at the Finnish embassy, Irish ambassador and head of development cooperation at the German and Danish embassies.

  Others are the Japanese ambassador and head of the DFID office in Dar es Salaam.
  Mr Khijjah also sounds optimistic, noting that achievements have been recorded in the implementation of the Budget, including encouraging signs of economic stability that put the country on track towards attaining seven per cent growth. (Mhhhhh!)

  He says despite the challenges, the government is taking measures to remedy the situation. On revenue collection, Tanzania Revenue Authority has been urged to look into ways of minimising the shortfall and reaching its targets.With the exception of last December, TRA has not met its targets since the beginning of 2009/10, exerting pressure on budget execution.

  In 2009/10, total domestic revenue collections (excluding revenues generated by local government authorities) were Sh4.662 trillion - a nine per cent shortfall against a budget of Sh5.096 trillion."Based on the Mid Year Review the government is reviewing some of its expenditure items, especially in recurrent budget to weed out those that will not have negative impact on the general performance. In mind are items on seminars/workshop, etc," Mr Khijjah says.

  The government's request for extra funds comes almost a year after donors withheld some $220 million (Sh297 billion) in General Budget Support (GBS) for this financial year.The donors said then that their combined GBS in 2010/11 would be $534 million (about Sh721 billion), some $220 million (about Sh297 billion) less than in the current financial year, which ends in June.
   
 2. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Safi sana! Taratibu yale tuliyoyasema hapa JF yanatimia. There is no way serikali hii itamaliza mwaka na bajeti ya mwaka huu. Signs of economic woes were evident since October. Ila kwa kuangalia hali ya uchumi duniani sijui kama wataweza kupata vyote wanayoyataka. Ila what is evident ni kuwa serikali hii haiko makini, ilipotosha umma na unrealistic budget, ime-overspend na pia imeingiza mipango ambayo haikupangwa bila considering the economic consequences mfano mzuri huu hapa:
  Political gimmicks cost money, JK! Habari ndo hiyo
   
 3. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Mtume!

  Hili bakuli linalotembezwa likirudi na kitu kiduchu au sifuri sijui itakuwaje - wachumi tafadhali mtuelimishe!
   
 4. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Huhitaji kuwa mchumi kujua kuwa hali ni mbaya na wafadhili hawataweza kutoa 100% msaada unaoombwa lakini ni sawa tu maana nchi hii tumezidi. Sisi tumekaa tunaipa kura CCM miongo yote hii eti Chama imeshika hatamu, eti imejenga mashule na utumbo mwingine, ila tusichotambua ni kuwa in our name wanapewa mabilioni kila mwaka so hata hizo shule za kata tumejengewa na wahisani. Lakini kwa mkono mwingine CCM wamechota pesa zetu pia tulizopewa na wahisani na sisi hatujawawajibisha.. sasa ngoja pesa hizo zikate tu!
  Misaada itakapoisha ndipo tutaona mabadiliko ya kweli Tanzania!
   
 5. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Halafu unajua ingekuwa bora tuwe na crisis ya namna hii huku tukiona nini kimefanyika, lakini wapi ni politicking tu! We spend more than what we have halafu tunategemea wafadhili ambao wao (Mfano UK) wamefunga mikanda kweli kweli!
   
 6. S

  Selungo JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu,

  Si juzi tu tumeambiwa serikali imekusanya mapato zaidi ya matarajio na malengo iliyo jiwekea? Tukaelezwa imejiwekea akiba inayoweza kutumika kwa kipindi cha miezi sita bila kuhitaji misaada!

  Inakuwa je tena imegeukia kutembeza bakuli?

  Naendelea kuamini alicho kisema Dr. Slaa kwamba kuirudisha serikali hii madarakani ni MAAFA na sasa maafa yanatimia. Ole ya Watanganyika inatimia.

  Nawasilisha.
   
 7. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Kweli mkuu, nina uhakika hawatapata hizo fedha walizoenda kuomba! Sasa rais anajiamulia tu vitu na kubadili mfumo wa administration ya elimu between budget, hiyo ni akili kweli? Hawatatuambia lakini wataibuka na pesa kidogo sana.
  Alafu angalia nchi walizoenda kuomba:
  Sasa basi hawa watu huko wizarani ni vilaza kweli! Wangeangalia hivi uchumi wa nchi hizi husika imekaaje?
  Denmark.. Japan... UK .. wana wakati mgumu sana .. lakini hiyo tisa, kumi ni IRELAND! Nchi hii si ndo sehemu ya PIIGS countries of EU ambao walikuwa on verge of bankruptcy and the economy nearly collapsed? Alafu hao wajerumani ndo wako katika shughuli za kuprop up the EU economy... Naona kwa Barack Obama hawajaenda walijua watatimuliwa!
  Nonsense!
   
 8. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Hiyo rekord waliyotangaza ilikuwa ni cooked numbers.. walijua kuwa watahitaji kuandika hii baua ya kuombaomba sasa wametoa hizi namba ili kuwatia matumaini donor.. hebu cheki hata Bubu Ataka Kusema ameguna:

  Hawa jamaa ni matapeli wote. Na usanii huu hawajaanza leo ndiyo maana Dr Slaa alituambia ni maafa kuwarudisha, hawana mipango wamezoea kuchota tu na kuleta usanii. Kwa miaka mitano walikuwa wanamalizia kutimiza mipango ya Mkapa, sasa safari hii they have to come with an original plan... basi utaona usanii utakavyoongezeka!
  Alafu utashangaa eti kuna watu humu bado wanawatetea hawa mabwege! :sad:
   
 9. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  ..Kwa taarifa tu...
  Wafadhili hawako tayari sana kutoa mshiko kwa ajili ya ku-support general budget kwa sasa kwa sababu kadhaa!

  1. Tumewekeza pesa nyingi kwenye mishahara na posho badala yamaendeleo, angalia hesabu za Mkulo hapo juu.
  2. Tuna matumizi mabaya ya pesa zao (hatufuati mikataba inavyotaka), uliza maliasilina utalii
  3. Uchumi wa nchi nyingi wafadhili unayumba, walicho nacho kwa ajili ya ombaomba sisi ni kidogo sana.

  Naongea habari hizi nikiwa nimetoka katika mkutano nyeti wa kujadili suala la mgao wa umeme, ambapo wafadhili wamekuwa wakali sana kuhusu hatua za dharura ambazo tunachukua kutatua tatizo hili, ambazo hazina tija.
  More pains to come. Quote me pls!
   
 10. doup

  doup JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  ASANTE MKUU, ngoja tuanze mazoezi ya kufunga mkanda, ikitangazwa rasmi tutakuwa tumezoea. Nashindwa hata kusema Mungu ibariki TZ, kwa sababu kufanya hivyo ni kuwa bariki Viongozi
   
 11. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Niko kwenye mkutano wizara ya afya, PS ameripoti officialy kwamba Treasury waliagiza wizara ya afya kukata bajeti yao ya mwaka huu kwa asilimia 79!!!!!
   
 12. M

  Matarese JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ati! au sijaona vizuri, ni 79% , au 7% au 9% ? Gurudumu, hembu acha utani, andika tena kwa HERUFI KUBWA.
   
 13. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,509
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa vipi?? Si juzi juzi tu wamesema TRA inakusanya kuliko malengo na national reserve (akiba ya Taifa imeongezeka) to 3+ billion USD sasa hii game vipi tena. Au wanafikiri hizi data wakitupa kwa kiswahili wahisani hawaelewi??

  Worse enough hawa jamaa wana pesa za kuwalipa Down immediately wakati hawajui wananchi kwenye hizo wilaya 13 watakula nini??? Wanataka wawalipe Downs wakati wananchi wanakufa huku wakisubiri hela za wahisani??
   
 14. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu Gurudumu, hiyo figure ni sahihi? nimefikiri labda ulikuwa na haraka wakati ukiandika kwa bahati mbaya ikatokea typo error!!
  Otherwise kama hali ni hiyo tumekwisha..
   
 15. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Asilimia 79 please, sijakosea.
   
 16. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ahaaa, sasa amerekebisha baada ya kuulizwa zaidi. Alipresent vibaya, slip of the tongue! Amesema alimaanisha kwamba wameambiwa wakate bajeti ibakie asilimia 79, which means wapunguze by asilimia 21. Lakini pia ameongeza kwamba hajapokea pesa yote ambayo alistahili kuwa amepokea hadi sasa. Ina maana kwamba actual disbursment will give the actual situation by June
   
 17. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tz kwisheny...
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,878
  Likes Received: 83,359
  Trophy Points: 280
  Dah! halafu kuna malipo ya kifisadi ya DOWANS ya $69m ambayo mafisadi ndani ya Serikali na CCM wanataka lazima yalipwe na ya RITES ya $87m. Malipo ya Dowans Board of Directors ya TANESCO wameshasema TANESCO hawana pesa ya kulipa. Sijui hii Serikali ya kifisadi itazitoa wapi hizo pesa $156m za kulipa malipo hayo hasa ukitilia maanani kwamba Mkullo alishatamka kwamba Hazina haina pesa.
   
 19. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #19
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  :A S 20::A S 20::A S 20:Wakina Fisadi Kikwete hao na kundi lake la Rostam na Lowassa bado hawajalipwa hizo pesa wakilipwa basi tumeumia:twitch:. Tulishaonywa na Dr.Slaa kuwa kuichagua CCM ni sawa na kuvuka mto uliokuwa na mamba wenye njaa. Haya Usalama wa Mafisadi (Taifa) mmechakachua kura zetu sasa tunaoumia ni sisi wananchi. Jamani nashindwa kuvumilia nalia:A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20: Natafuta bunduki watanzania wenzangu nimeshindwa kuvumilia nataka kuwashughulikia mafisadi :twitch: naona huu mchezo unazidikupamba moto tunaoumia ni sisi wananchi.:twitch:
   
 20. Liz Senior

  Liz Senior JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2011
  Joined: Apr 19, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Vipi Christopher Columbus hapeleki lile bakuli ughaibuni? Si sifa ya safari zake ni kurudi na bakuli lililojaa? Na hili tunatakiwa tujivunie. Tunaweza kama nchi kujipatia award ya waombaji bora duniani?
   
Loading...