Government coffers are empty

Government coffers are empty

Christopher Columbus anasubiri kiasi gani kipo hazina ili aende akatembeze bakuli lake huko ughaibuni, Fisadi Kikwete safari hii atakwenda Mars kutembea kna kubembea juu ya mwezi. :roll:Fisadi Kikwte tembeza bakuli watoto wana njaa nenda kaombe rasili mali tulizo nazo ni za wachukuaji sio watanzania waacheni wachimbe hata magogoni kukiwa na madini pia hamisha Ikulu peleka Bwagamoyo ukapumzike vizuri Fisadi Kikwete na tuwaite wachukuaji waje wachimbe Pale Ikulu. Fisadi Kikwete nalia na wewe unaiharibu nchi yangu:A S 20:
 
Kumkamu ng'ombe bila kumpa majani mishowe utakosa hayo maziwa, ukijisahau akifa ndio na wewe umeisha, tunavuna tulichopanda.
 
Dah! halafu kuna malipo ya kifisadi ya DOWANS ya $69m ambayo mafisadi ndani ya Serikali na CCM wanataka lazima yalipwe na ya RITES ya $87m. Malipo ya Dowans Board of Directors ya TANESCO wameshasema TANESCO hawana pesa ya kulipa. Sijui hii Serikali ya kifisadi itazitoa wapi hizo pesa $156m za kulipa malipo hayo hasa ukitilia maanani kwamba Mkullo alishatamka kwamba Hazina haina pesa.

BAK,

Unakumbuka mwaka jana Mh Mkulo alisema uchumi utakuwa by 7% nikapinga hapa kuwa sitegemei uchumi utakuwa hivyo na kama uchumi utakua tanzania basi ni maximum 4.5% to 4%. Sasa ndio tunaisikilizia, ila kama wakikosa pesa kwa wafadhali tunawaomba pesa zitoke katika maeneo haya serikalini:
a. Posho na marupurupu ya vikaoni na mabungeni vipunguzwe kujalizia bakuli la nchi. Mbunge analipwa mshahara wa milioni 2 but marupurupu yanafikisha mapato ya mbunge kwa milioni 7 hadi milioni 8. Hizi milioni 5 nyengine wakikatwa kila mbunge kwa wabunge 300 tulionao (maana hatuwezi kuwapunguza tena wale wa viti maalumu) basi tutakuwa tumesave karibia 1.5 Billion Tshs kila mwezi!!!!

b. Pia posho katika mawizara na safari za nje zisizo na umuhimu zipungue kujalizia mfuko wa nchi uliotoboka tunaweza kusave kama bilioni 1 kila mwezi.

c. Mashangingi yauzwe zinunuliwe vitara na Rav-4 zinaweza kuhimili vishindo vya maisha. Tukiuza mashangingi hayo tuseme kwakuwa tumenunua milioni 250 (which is a highly inflated price) tuiuze kwa milioni 80 kila mmoja (kwani bei yake mpya Japan ni $60,000 kama sijakosea). Hivyo tunaweza kupata bilioni kadhaa kutoka kwenye madude hayo yasiyo na umuhimu nchini.

d. Vilevile ile misamaha ya kodi nayo ipunguzwe kujalizia mfuko.

e. Ufisadi nao udhibitiwe kwani mheshimiwa waziri moja alidai 30% ya fedha za serikali zinaliwa na mafisadi sasa kama Budget ya serikali ni Trilioni karibu 10 (30% yake) ni kama Trilioni 3 zinaweza kudhibitiwa na serikali tukawa tumeongoka maisha yakaendelea.

Swali je Mheshimiwa Khijjah na Mkulo wanaweza kuyafanya hayo??
 
Donors tafadhali msiwape pesa msiwape. Hii misaada inatudumaza kiakili. Wana magari ya anasa ofisi zao ni zina thamani za ajabu kubadilishwa kila mara. STOP dont give dem money please man. acha watie akili.
 
:A S 20::A S 20::A S 20:Wakina Fisadi Kikwete hao na kundi lake la Rostam na Lowassa bado hawajalipwa hizo pesa wakilipwa basi tumeumia:twitch:. Tulishaonywa na Dr.Slaa kuwa kuichagua CCM ni sawa na kuvuka mto uliokuwa na mamba wenye njaa. Haya Usalama wa Mafisadi (Taifa) mmechakachua kura zetu sasa tunaoumia ni sisi wananchi. Jamani nashindwa kuvumilia nalia:A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20: Natafuta bunduki watanzania wenzangu nimeshindwa kuvumilia nataka kuwashughulikia mafisadi :twitch: naona huu mchezo unazidikupamba moto tunaoumia ni sisi wananchi.:twitch:

Una uhakika hawajalipwa?hakutakuwa na tangazo hilo!
 
Hivi serikali hii inaweza kutoa tamko la kuwaondoa ombaomba mijini na kuwarudisha kwao. Maana tabia ya kuombaomba inaanzia kwa nchi (serikali) na kushuka kwa wananchi. Zamani serikali ilihimiza kujitegemea, leo inaomba baada ya nusu karne ya uhuru.

I feel like vomiting
 
Kweli hali ni mbaya, yaani 'Vasco Da Gama' kimya... safari zote za kivumbuzi zimeisha... Tuna kila sababu ya kulaaniwa yaani mtu anacha kuangalia wanyama kwenye maajabu ya dunia serengeti anachukua hela walipa kodi kwenda jamaica kubambea!!!!!!!:coffee:
 
Alisema anasafirisafiri ili tusife njaa; tuone basi apande pipa kama atarudi na MKWANJA safari hii!! Wazungu wote wamemstukia kwa utembezaji wake wa bakuli huku akishinikiza majambazi wenzie wa DOWANS walipwe mabilioni ya fedha.
 
Kweli mkuu, nina uhakika hawatapata hizo fedha walizoenda kuomba! Sasa rais anajiamulia tu vitu na kubadili mfumo wa administration ya elimu between budget, hiyo ni akili kweli? Hawatatuambia lakini wataibuka na pesa kidogo sana.
Alafu angalia nchi walizoenda kuomba:

Sasa basi hawa watu huko wizarani ni vilaza kweli! Wangeangalia hivi uchumi wa nchi hizi husika imekaaje?
Denmark.. Japan... UK .. wana wakati mgumu sana .. lakini hiyo tisa, kumi ni IRELAND! Nchi hii si ndo sehemu ya PIIGS countries of EU ambao walikuwa on verge of bankruptcy and the economy nearly collapsed? Alafu hao wajerumani ndo wako katika shughuli za kuprop up the EU economy... Naona kwa Barack Obama hawajaenda walijua watatimuliwa![/COLOR]Nonsense!

kwa Obama hawawezi enda sababu ameshasema Viongozi Africa Matapeli.
 
na bado, i will start a petition ya kuwaomba DONORS WASITUPATIE MISAADA ili tupate akili... JAMBAZI KUU (JK) si lilitoka kwenye expedition uko ulaya eti limerudi na TUZO YA MALARIA! Bakuli liko empty watu wanachukua AUSTERITY MEASURES halafu sisi ati tunaomba ela, FAECES!
 
BAK,

Unakumbuka mwaka jana Mh Mkulo alisema uchumi utakuwa by 7% nikapinga hapa kuwa sitegemei uchumi utakuwa hivyo na kama uchumi utakua tanzania basi ni maximum 4.5% to 4%. Sasa ndio tunaisikilizia, ila kama wakikosa pesa kwa wafadhali tunawaomba pesa zitoke katika maeneo haya serikalini:
a. Posho na marupurupu ya vikaoni na mabungeni vipunguzwe kujalizia bakuli la nchi. Mbunge analipwa mshahara wa milioni 2 but marupurupu yanafikisha mapato ya mbunge kwa milioni 7 hadi milioni 8. Hizi milioni 5 nyengine wakikatwa kila mbunge kwa wabunge 300 tulionao (maana hatuwezi kuwapunguza tena wale wa viti maalumu) basi tutakuwa tumesave karibia 1.5 Billion Tshs kila mwezi!!!!

b. Pia posho katika mawizara na safari za nje zisizo na umuhimu zipungue kujalizia mfuko wa nchi uliotoboka tunaweza kusave kama bilioni 1 kila mwezi.

c. Mashangingi yauzwe zinunuliwe vitara na Rav-4 zinaweza kuhimili vishindo vya maisha. Tukiuza mashangingi hayo tuseme kwakuwa tumenunua milioni 250 (which is a highly inflated price) tuiuze kwa milioni 80 kila mmoja (kwani bei yake mpya Japan ni $60,000 kama sijakosea). Hivyo tunaweza kupata bilioni kadhaa kutoka kwenye madude hayo yasiyo na umuhimu nchini.

d. Vilevile ile misamaha ya kodi nayo ipunguzwe kujalizia mfuko.

e. Ufisadi nao udhibitiwe kwani mheshimiwa waziri moja alidai 30% ya fedha za serikali zinaliwa na mafisadi sasa kama Budget ya serikali ni Trilioni karibu 10 (30% yake) ni kama Trilioni 3 zinaweza kudhibitiwa na serikali tukawa tumeongoka maisha yakaendelea.

Swali je Mheshimiwa Khijjah na Mkulo wanaweza kuyafanya hayo??

Mkuu baadhi ya mapendekezo yako tayari yameshaanza kufanyiwa kazi. Maagizo yameshatoka hazina kwamba safari zipunguzwe sana, hili linawakumba hata mawaziri. Tatizo kubwa ni kwenye misamaha ya kodi kwani waliosamehewa wengi ni wale mafisadi papa ambao ndio wanaoendesha chama tawala na serikali yake. Tatizo lingine litakuwa kwa wabunge, ndiyo maana nimeanzisha thread nyingine namtaka Spika afunge bunge wabunge warudi nyumbani.
 
na bado, i will start a petition ya kuwaomba DONORS WASITUPATIE MISAADA ili tupate akili... JAMBAZI KUU (JK) si lilitoka kwenye expedition uko ulaya eti limerudi na TUZO YA MALARIA! Bakuli liko empty watu wanachukua AUSTERITY MEASURES halafu sisi ati tunaomba ela, FAECES!

Hopefully the donors won't give them a single cent.
 
I pity you guys who because of drought you suffer hunger; us in Zion we operate in different principles for during drought thats when we get bumper harvests normally not less than a hundred folds. Mmh! and yet we see things before they happen that we are not caught by surprise...Come on its our year of Jubilee we gona gotta highest positions for we know the King has no option; for Him to retain His king-domship is obliged to appoint us to be the overseers of thy Kingdom people lest them die of the prevailing hunger...mmh! Hallelujah glory be to our Jehova Shamah! Oppositions get ready for thy salvation is nigh!...
 
mambo bak
mbona bado wanaagiza magari ya 200m kila siku
wahisani msiwape hizo hela, tukipata mateso labda tutafikiria kuwatoa ccm
 
I pity you guys who because of drought you suffer hunger; us in Zion we operate in different principles for during drought thats when we get bumper harvests normally not less than a hundred folds. Mmh! and yet we see things before they happen that we are not caught by surprise...Come on its our year of Jubilee we gona gotta highest positions for we know the King has no option; for Him to retain His king-domship is obliged to appoint us to be the overseers of thy Kingdom people lest them die of the prevailing hunger...mmh! Hallelujah glory be to our Jehova Shamah! Oppositions get ready for thy salvation is nigh!...

Is it just me, or is this post hella creepy...i mean super scary!
 
They should also investigate the effect of VAT Machines since each cost more than USD 2000 and recovered 100% from VAT Return. I am not sure whether CASH REGISTERS had positive effect to TRA revenue collection likewise VAT machines may end up with the same story after Government has lost more than USD 2,000 for each registered VAT Agent.
 
WIZARA YA FEDHA:
Ndo maana hata ukitembelea webusaiti ya Wizara ya Fedha hakuna ripoti za maana kuelezea matarajio/mwelekeo/matumaini (estimates) kwa vipindi vya January 2011-Machi 2011!!? Ministry of Finance and Economic Affairs - Home

BENKI KUU YA TANZANIA 05.Feb.2011 INASEMA:
The Bank of Tanzania has said that the value of exported goods sharply increased last year compared to 2009.
BoT Governor Benno Ndulu told reporters on Thursday in Dar es Salaam that the value of exported goods reached USD 900m, thus increasing the country's capacity to generate foreign currency because it does not depend on a single product for export.
"The export of agricultural products ranged between USD 450m and USD 480m while transit goods reached USD 380m," he said.
He gave an overview of economic growth of the three quarters, saying that in the first quarter the economy was growing at 7.3 per cent, in the second at 7.1 per cent and the third quarter at 6.2 per cent. He was however cautious about growth in the fourth quarter, saying it was likely to be affected by the current power rationing.
Prof Ndullu further called upon the public to do away with the concept that when the country's currency is stable it is good for the ecomony because currency fluctuation has many implications.
He said the situation may be good to famers or people who have taken loans in terms of dollars, thus if the value of the shilling changes it may affect them.
Prof. Ndulu said that comparing the Tanzanian shilling to the dollar depends on how it moves in the market.
He however said that foreign reserve at the BoT was currently USD 3.8bn, which can last between six and seven months to import goods from outside the country and service debts. source IPPMEDIA Home

Maoni yangu:
Serikali imeshindwa kusimamia uchumi wake, maana kama BOT na Wizara ya Fedha wanatofautiana kihivyo basi tumwekwisha! Maana hakijulikani kinachoendelea kama uchumi unapaa au unaanguka.

Does the figure includes proceeds from sale of minerals? My understanding only small amount required to converted into TZS is what is remitted. The rest are kept in overseas banks
 
Kumbe Gavana alitupatia ripoti inayoelezea mwaka 2010 ndio tulikuwa na reserve ya US 3.8Bn, sasa haya mabilioni ya dolari sijui zimepotelea wapi hadi hii February 2011 tutembeze bakuli?

Nadhani serikali itoe maelezo ya kina maana Tanzania haikupigana vita miezi ya mwisho ya 2010 hadi ikafilisika!

Tanzania registers massive increase in value of exports

By Lydia Shekighenda

5th February 2011

Benno(18).jpg

BoT Governor, Benno Ndulu

The Bank of Tanzania has said that the value of exported goods sharply increased last year compared to 2009.
BoT Governor Benno Ndulu told reporters on Thursday in Dar es Salaam that the value of exported goods reached USD 900m, thus increasing the country's capacity to generate foreign currency because it does not depend on a single product for export.

"The export of agricultural products ranged between USD 450m and USD 480m while transit goods reached USD 380m," he said.
He gave an overview of economic growth of the three quarters, saying that in the first quarter the economy was growing at 7.3 per cent, in the second at 7.1 per cent and the third quarter at 6.2 per cent. He was however cautious about growth in the fourth quarter, saying it was likely to be affected by the current power rationing.

Prof Ndullu further called upon the public to do away with the concept that when the country's currency is stable it is good for the ecomony because currency fluctuation has many implications.
He said the situation may be good to famers or people who have taken loans in terms of dollars, thus if the value of the shilling changes it may affect them.

Prof. Ndulu said that comparing the Tanzanian shilling to the dollar depends on how it moves in the market.
He however said that foreign reserve at the BoT was currently USD 3.8bn......... Endelea kusoma source 5.february.2011 ippmedia Home
 
kwanza watueleze zile PESA walizokopa mwaka jana STANBIC WAMETUMIAJE?UNAJUA HAWA JAMAA KUKIWA NA TATIZO LA UMEME NDIO MAHALI PA UFISADI,SASA WANASEMA HFO NA MELI IPO BANDARINI BILA KUTANGAZA TENDER,KAMPUNI YA MAFUTA TOTAL YA MRAMBA NDIO ITA SUPPLY
 
Back
Top Bottom