Wewe ni mkongwe!Hata me nazipenda za zamani
Tumaini shangilieni choir nyimbo zote
Victory singer's-geuza macho, hati ya mashitaka
Ukyankulu
Cosmas chidumule
Fanuel sedekia
Mine too.My forever tune
Ila usije kunisema maana atakuja hapa kafura Kama kobokoNimecheka kwa sauti mpaka stuff wananishangaa![]()
Hahahah hapana mkuu hizo nyimbo nimezijulia kwa dada zanguWewe ni mkongwe!


Mungu akubariki sanaHahahah hapana mkuu hizo nyimbo nimezijulia kwa dada zangu![]()
Hahahahha Mimi ni kibabu mamviMkuu weye ndo huyo..??
AmeenMungu akubariki sana
akubariki pia
Humu vyombo vimekung'utwa bhana..