Gospel unazozipenda

Gospel unazozipenda

Eeh Bwana uniinue.. Kwa imani nisimame
Nipande milima yote eeh Bwana unipandishe ..
Nisikae duniani ni mahali pa shetani
Natazamia mbinguni eeh Bwana unitazame...!
Kitabu Cha nyimbo za Injili, unanikumbusha mbali sana, unakuta viwanja vya jangwani kumesheheni hapo Yupo Dr Moses Kulola daah ikiimbwa hii nyimbo unaweza kudhani Yesu ndio anarudi
 
Tunakombolewa kwa neema tu mkuu..kumbuka neno linasema hivi kwenye Isaya 1: 18

Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu.
Hapo umemaliza mkuu Sina swali Mungu akulinde Hadi ushuhudie katiba mpya🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom