Gospel Singer Angel Benard

Gospel Singer Angel Benard


Tazama hapa video mpya ya Angel bernard, salama rohon, nimetokea kuupenda huu wimbo deadly, ulinifanya niitafute album yake ya New day amplified ambao ndo unapatikana huu wimbo,

Mimi naupenda Huu wimbo kuliko maelezo hakika ananibariki huyu mdada.
 
Juzi kati napita YouTube nikaona wimbo wa huyu Dada uitwao salama rohoni mwangu. Huyu Dada anaimba aisee. Anaimba haswa itabidi nitafute Kazi zake zingine

Nitanunua Kazi zake siwezi download bure kama appreciation yangu kwake
 
Juzi kati napita YouTube nikaona wimbo wa huyu Dada uitwao salama rohoni mwangu. Huyu Dada anaimba aisee. Anaimba haswa itabidi nitafute Kazi zake zingine

Nitanunua Kazi zake siwezi download bure kama appreciation yangu kwake
Huyu Dada moto sana Ana sauti mzuri hakika hutojutia kununua kazi zake zinabariki.
 
Asante kwa kuleta huu uzi,binti yko vzr sana naiman wngi hatukumjua anakipaj na nyimbo zinacicimua kwa kwli!!!!mbarikiwe wte mlochangia!!!
 
Napenda sana nyimbo za injili namkubali sana angel nimsikia kwenye mara ya kwanza kwenye wimbo wa ehe roho wa gc kwa kifupi ni mwimbaji mzuri sauti nzuri audio na video nzuri.
 
Napenda sana nyimbo za injili namkubali sana angel nimsikia kwa mara ya kwanza kwenye wimbo wa ehe roho wa gc kwa kifupi ni mwimbaji mzuri sauti nzuri audio na video nzuri.
 
Hii nyimbo sikujua kwamba ni gospel song, nyimbo ya need you to reign ni kali vibaya kiasi kwamba naiona ikisikilizwa 20 years ahead na vijana wapenda muziki mzuri watakaokuwepo enzi hizo.

Sikuwahi kumfahamu ila nimemjulia katika hio nyimbo. Ni muunganiko wa beat ya ukweli na vocals za hatari sana kupata kusikia!

Naombeni mnifahamishe je ni mtanzania ama?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom