Gospel Singer Angel Benard

Gospel Singer Angel Benard

Juzi kati napita YouTube nikaona wimbo wa huyu Dada uitwao salama rohoni mwangu. Huyu Dada anaimba aisee. Anaimba haswa itabidi nitafute Kazi zake zingine

Nitanunua Kazi zake siwezi download bure kama appreciation yangu kwake
Ni kweli mkuu ...she is the best
 
Hii nyimbo sikujua kwamba ni gospel song, nyimbo ya need you to reign ni kali vibaya kiasi kwamba naiona ikisikilizwa 20 years ahead na vijana wapenda muziki mzuri watakaokuwepo enzi hizo.

Sikuwahi kumfahamu ila nimemjulia katika hio nyimbo. Ni muunganiko wa beat ya ukweli na vocals za hatari sana kupata kusikia!

Naombeni mnifahamishe je ni mtanzania ama?
Kiukweli inashangaza wengi tumechelewa kumfahamu ....mimi siku nasikia nyimbo yake Praise Power Fm nilisitisha kufanya chochote ili nisikie mtangazaji anasema ni nani ....imagine nilianzisha huu uzi 2014!
 
Katika kuhakikisha huyu dada anafikia watu wengi. Nimefanikisha kukamilisha website yake na profiles za social networks zingine. Tafadhali mnaweza kumpata moja kwa moja kupitia hizi links.
www.angelbenard.com

www.facebook.com/OfficialAngelBenard


www.instagram.com/benardangel
www.youtube.com/angelbenard
www.twitter.com/angelbenard

Nyimbo zake pia zinapatikana kupitia mkito kwa hii link
www.mkito.com/artist-profile/Angel-Benard/941

Dah, tumetoka mbali sana [emoji109]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom