MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 19,990
- 34,838
Huyu msanii wa nyimbo za injili sikuwahi kumfahamu.....lakini kutokana na mazoea nowdays kutune Praise Power FM kila asubuhi mwendesha kipindi kwa siku za karibuni amekuwa akipiga nyimbo moja kali ambayo ipo kwenye mahadhi ya R&B .......kiukweli baada ya nyimbo hii kupigwa mara ya kwanza na ulipoisha mtangazaji akaurudia.....nilikuwa bafuni nikioga ikanilazimu nitoke kwanza nisikilize vizuri na hasa nijue nani kaimba hiyo nyimbo.........
Ndio kwa mara ya kwanza nasikia mtangazaji akimtambulisha kama Angel Bern na nyimbo inaitwa Mwamba (kama sikosei) .........bahati mbaya nimejaribu kuutafuta wimbo huu kwenye mitandao sijaupata lakini nakuhakikishieni inaweza kuwa R&B bora kabisa hata ukichanganya na R&B za Bongo Fleva .............
Kama kuna mwenye idea na nilichozungumzia tupe link ya kupata nyimbo hii na binafsi kama huyu binti anapita hapa atambue kuna kitu kikubwa sana ndani yake.........she is very talented............