Google translator balaa!

eRRy

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
1,125
204
Translated:

"Albert?" Ambassador Katunzi wife called him bubujikwa and tears
"Yes mother!"
"You?"
"I am the mother!"
"Or we find something else?" Ambassador Katunzi asked
"What if the father?"
"Ghost! For you, we bury Tanzania home !"...

________________________________________________________________-

Original:


"Albert?" Mke wa Balozi Katunzi aliita akibubujikwa na machozi
"Naam mama!"
"Ni wewe?"
"Ni mimi mama!"
"Au tunaona kitu kingine?" Balozi Katunzi aliuliza
"Kama nini baba?"
"Mzimu! Maana wewe tulikuzika nyumbani Tanzania!"...
 
ha ha ha ha ha ha mungu wangu you made my day...nahisi ilivyotengenezwa walichukua maneno ya kiswahili yakawa translated, then kuunganisha ndo inashindwa ku make sense, lol.
 
Ha ha ha!

Indeed we bury Tanzania....I think we shall do it literally this October!!
 
Huwa inachekesha sana kama mtu anaamua kutumia google translator kutafsiri 'paragraph' au 'phrase'.
Spammers na hackers wa email accounts wanatumia pia hiyo, na matokeo yake ni vichekesho!
 
Hii ndo tafsiri sisisi.
habari yako=Your information
 
Back
Top Bottom