T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,785
- 46,636
Hapa umepanick, una hasira, una huzuni. Hakuna hoja umeongea.Unaandika Ukiwa ume copy na kupaste wapi watu tunatoa maon kwasababu ndo simu nazotumia Mimi Nina uhakika hata pixel 3a xl ujawahi Tumia embu ongeeni Vitu mkiwa experience
Ukitafuta hela utabadilisha simu unavyotaka na utajua simu nzuri uache kukariri maisha. Mimi ni mtumiaji wa Pixel lakini kelele mnazoipa hazistahili, nazisifia iPhone na Samsung wakati sipendi kuzitumia. Wewe unaongea kishabiki sababu unayo.Nina pixel 5a na 4xl ziko bomba Kila idara
Kwamba Pixel zikiwa released muda huohuo zinakuwa units kibao refurbish? Kaa mwezi mmoja tafuta refurb za Pixel 8 utakutana nazo za kutosha online store. Simu kama ni bora as it was advertised kwanini iwe na return nyingi kwa OEM na kwenye store na ishuke bei ndani ya miezi michache ya kuingia international market?Marekani anatumia refubished kwani uko USA SI Kuna viwanda vyakufufua simu na vifaa vyote ya kielectronic
Nimejibu kulingana na hoja zako tatu, huna unachojua unabwabwaja eti nimekopi.Hata pia maduka makubwa ya Vitu used ambavyo viko well condition Kuna tofauti Kubwa kati used na refurbished (simu zilifanyiwa marekebisho)
Mpaka Vya magari zipo Kuna GMC kibao Tu ambazo modified Kwa Huko USA sio big deal mtu Kutumia Kitu kilichofanyiwa maboresho (refurbished) alafu Unakuja Hapa unalalama oh pixel Mbovu sijui nini
Pixel itabaki kuwa pixel Tu
Bado ujasema wewe mpaka useme
🤣🤣Hapa umepanick, una hasira, una huzuni. Hakuna hoja umeongea
🤣🤣🤣🤣Nina Pixel 6 Pro, inazidi hizo takataka ulizoshika hapo.
KwendraaaaaaaaPray for IPhone 😂
Dah! Ni kweli ila kwenye kupasuka vioo ni hatari. Sijasahau ilichonifanyia Samsung Note 8 kisha NOTE 10+. Ila ni simu nzuri sana.Samsung bado ni unbeaten...
Hao Pixel ukitoa part ya camera, kwingineko ni majanga tuu...
The most user friendly phone ni Samsung tuu..
Ht iPhone anajua pixel n simu kaliKwendraaaaaaaa
Ndio maana unapigia picha juani 🤣
Hilo ndio suala pekee linalonizuia kununua Samsung, kioo kupasuka, kuweka kontua au kuweka dots. UI yao nzuri, screen panels wanawatengenezea makampuni mengine hata Apple ila sasa wao Samsung zakwao ziko optimized vizuri lakini sio imara. Wakati protection ndio ileile kutoka mbabe pekee duniani kwenye field hiyo, Corning. Hapo kuna Gorilla Glass 5, 6 au Invictus ila sasa za Samsung ndio zinapasuka haraka.Dah! Ni kweli ila kwenye kupasuka vioo ni hatari. Sijasahau ilichonifanyia Samsung Note 8 kisha NOTE 10+. Ila ni simu nzuri sana.
Watu wa Pixel kwenye simu wao wanataja camera tu. Tunatakiwa kuwa na flagship iliyo complete kila kitu kuanzia charging speed, battery life, wireless & reverse charging, user friendly, camera both in video and photo, chip, finishing, protection na kila kitu.🤣🤣🤣🤣
Ilaaaaa humu ndani.. kwamba ameshika nini?
Unazijua Sony wewe?Hilo ndio suala pekee linalonizuia kununua Samsung, kioo kupasuka, kuweka kontua au kuweka dots. UI yao nzuri, screen panels wanawatengenezea makampuni mengine hata Apple ila sasa wao Samsung zakwao ziko optimized vizuri lakini sio imara. Wakati protection ndio ileile kutoka mbabe pekee duniani kwenye field hiyo, Corning. Hapo kuna Gorilla Glass 5, 6 au Invictus ila sasa za Samsung ndio zinapasuka haraka.
Ni sawa na Sony wanatengeneza camera sensors za flagships karibia zote ila huwezi kutana na simu ya Sony inapiga picha vizuri.
Bado ujasema mpaka usemeHapa umepanick, una hasira, una huzuni. Hakuna hoja umeongea.
Ukitafuta hela utabadilisha simu unavyotaka na utajua simu nzuri uache kukariri maisha. Mimi ni mtumiaji wa Pixel lakini kelele mnazoipa hazistahili, nazisifia iPhone na Samsung wakati sipendi kuzitumia. Wewe unaongea kishabiki sababu unayo.
Nina Pixel 6 Pro, inazidi hizo takataka ulizoshika hapo. View attachment 2779945
Kwamba Pixel zikiwa released muda huohuo zinakuwa units kibao refurbish? Kaa mwezi mmoja tafuta refurb za Pixel 8 utakutana nazo za kutosha online store. Simu kama ni bora as it was advertised kwanini iwe na return nyingi kwa OEM na kwenye store na ishuke bei ndani ya miezi michache ya kuingia international market?
Nimejibu kulingana na hoja zako tatu, huna unachojua unabwabwaja eti nimekopi.
Ukinunua Pixel 7 na hata 8 zikija utajua kwanini Pixel ni simu za kawaida sana.
Mwache abwabwaje hapo akati yeye mwenyewe anakwambia natumia pixel 6 proManeno mengi but Pixel aisee ni sim, sasa nina pixel 4a sijawahi jutia hii simu aisee
Hakuna simu yoyote duniani inayoifikia Google pixel leteni screpa zenu za makumbusho hapa tuone izo fone 14 15 12 cjui zote hazifui dafu kwa mtoto wa Pixel 3 series pmbav
Mfano Experia 5 Mark Five inakaa rank gani kwenye bechmarks zote? Mimi 10 bora sioni namna gani inaingia overall. Ukitaka simu simu iliyo sleek na screen size bora kwa streaming hiyo ndio kimbilio lakoUnazijua Sony wewe?