Google pixel 5a 5g

Google pixel 5a 5g

Sina maana sio simu kwa sababu kwanza ya mtazamo cha kwanza iphone users hawaangalii mambo mengi wao ni brand tu ndo maana hata mtu anaweza kufake iphone 12 akaweka cover ili iwe kama iphone 14..

Nina maana gani wewe unajua vitu kibao ila most of iphone users hawajui wao ni brand tu ,tuangalia kweny picha za iphone zile zinakuwa kama zipo edited .

Kiufupi mi iphone siwezi kutumia mpaka sasa hawajanishawishi kwanza simu ni nzito Kama redio ,design fulani kama yaani imekaa kama chuma ..Ni sawa na kutumia Snapchat , TikTok yaani nimeshindwa kabisa

Ni kwamba watumiaji wa iphone wao hawajui baadhi ya sifa wao wanajua kwambaa xiam, sijui oppo, realme, Huawei ,google pixel ni uchafu tu[emoji23][emoji23] labda Samsung kwa sababu brand ni kubwa..
Yeah.. ni kweli
iPhone users wengi wana matumizi madogo tu ya simu ila pesa huwa zinawawasha ndio maana huamua kununua iPhone. Utakuta mtu matumizi yake ni kujirekodi na kutuma video Snapchat na Tiktok, kuingia online, kupiga, kupokea na kucheza vigemu vya kitoto kama vya kukimbia au vile vya kukatakata machungwa na mananasi[emoji23][emoji23], halafu ananunua iPhone ya milioni mbili ilimradi tu afanye Show-off wakati huyo hata midrange za Xiaomi, Oppo au Samsung A-Series zinamfaa tena kwa bei chee na chenji inabaki. Lakini wanakimbilia iPhone kwa ajili ya Show off
Ukiwaeleza kuwa kuna simu nyingine kali kama iPhone au kuliko hata iPhone watabisha hatari na utaambulia maneno ya kejeli tu[emoji23][emoji23]
Ila kuna wengine wanafuatilia simu na wananunua iPhone kutokana na matumizi yao na kujikuta iPhone ndio zinawafaa zaidi.
 
Iphone sio simu labda ya kuringia ni kawaida kwanza zishakuwa yeboyebo kila kona zipo.

Tambua kufananisha Google pixel na mambo ya ovyo ni kutokuwa mjanja..Naweza kubali kwa pixel 5 kurudi chini maana hapo hardware zake ni old model na alibase kweny software haswa kweny camera ila kuanzia pixel 6 pro hao iphone wakae chini kabisa bado .

Upigaji wa iphone picha kama watu wa Snapchat , level of saturation ni kubwa picha kila mtu ni mweupe hamn uhalisia hii ndo maana inawateka wanawake wengi..
Most of iphone users ni wafuata mkumbo na hawajui chochote ni ile prestige basi ,Nina hakika kama wangekuwa watu wengi ni wafuatiliaji na wana cognitive skills angalau kidogo hata kujua Soc kweny simu nn? Achana na RAM na ROM..Naapa izi simu kama Huawei ,xiam ,zingekuwa na soko sana.
Unfortunately wengi mnafuata mkumbo ndo tatizo .
We jamaa utakuwa na mtindio wa ubongo
 
aisee umenena Huawei ni machine
 
Achana na hii kitu, kama una bajeti ya kununua iphone 11 au 12 please pita kwanza uchukue pixel halafu ukirudi tena kwenye iphone niite mbwa nimekaa paleee
Je unaizungumziaje Google Pixel 6 Pro Ryzen
=
Code:
https://www.gsmarena.com/google_pixel_6_pro-10918.php
1673675604883.png
 
Iphone user tunaipenda hii brand kwakuwa haishukii dhamani kirahisi. pia ni rahisi kuiuza bila kuanza kuipigia promo. pia kwasisi wafanyabiashara tunatumia camera sana (picture,video ) hapa sasa kama video hana mpinzani. kiufupi hakuna simu inayofunika iphone kwenye ku record video hapa nasemea iphone . nyie wa xs max kushuka chini tulieni kwanza mfano mimi natumia 13 prom max. hakuna flagship yoyote ya 2021 inayoipita kwauwezo wakukaa na chaji hata ukiiweka mwaka 2022 inaweza kushika tena nafasi zajuu. kabisa kiufupi google pixel 7 pro kwa iphone 13 pro max sizani inaweza kuingia ukitoa kupiga picha tuu. naongea hivyo maana hizi simu nazishika kila siku kiufupi ukimukuta mtu ana simu ya milion 2 kwenda mbele. hata kama ni oppo huyo hajafata mkumbo bali ni chaguo lake sahihi huwezi kutupa million kwamkumbo lazima atakuwa kafanyia uchunguzii
 
[emoji344]bei mpya za simu Used za Google pixel(but clean as new[emoji95]), mabingwa wa camera[emoji991] duniani, kutoka marekani

pixel 3a(64gb) 280,000Tsh

pixel 3axl(64gb) 320,000Tsh

pixel 3xl(64gb) 390,000Tsh

pixel 4 (128gb) 480,000Tsh

pixel 4a(128gb) 440,000Tsh

pixel 4a 5g (128gb) 580,000Tsh

pixel 4xl(64gb) 500,000Tsh

pixel 4xl (128gb) 600,000Tsh

pixel 5 (128gb) 700,000Tsh

pixel 5a (128gb) 770,000Tsh

pixel6a(128gb) 1,000,000Tsh

pixel6pro (128gb) 1,300,000Tsh

six months warranty [emoji736]

WAKUU HIZI BEI NI FAIR??? USED

Waizaji wa simu wa kibongo wanaitafuta faida mara 4 ifike mahali waweke mpangilio wa bei ili kuendana na hali za watanzania.
 
Iphone user tunaipenda hii brand kwakuwa haishukii dhamani kirahisi. pia ni rahisi kuiuza bila kuanza kuipigia promo. pia kwasisi wafanyabiashara tunatumia camera sana (picture,video ) hapa sasa kama video hana mpinzani. kiufupi hakuna simu inayofunika iphone kwenye ku record video hapa nasemea iphone . nyie wa xs max kushuka chini tulieni kwanza mfano mimi natumia 13 prom max. hakuna flagship yoyote ya 2021 inayoipita kwauwezo wakukaa na chaji hata ukiiweka mwaka 2022 inaweza kushika tena nafasi zajuu. kabisa kiufupi google pixel 7 pro kwa iphone 13 pro max sizani inaweza kuingia ukitoa kupiga picha tuu. naongea hivyo maana hizi simu nazishika kila siku kiufupi ukimukuta mtu ana simu ya milion 2 kwenda mbele. hata kama ni oppo huyo hajafata mkumbo bali ni chaguo lake sahihi huwezi kutupa million kwamkumbo lazima atakuwa kafanyia uchunguzii

Tayar unawakataa wenzako wenye xsmax kisa simu yako inakaa sana na charge[emoji23][emoji23].

Point ya kwamba simu ya iphone haishuki thamani ndio point ya msingi na ya kueleweka kuliko nyingine ukizojaribu kuziainisha hapo.

Swala la videos na picha,sina uhakika umeishia kushika simu gani kama ulivyosema,ila unapozungumzia video iphone iphone ina videos bora ila sio picha.picha haifurukuti hata kidogo.pixel>samsun>>>>>>>>iphone.
 
Ndomaana nilishikiria kwenye video sana picha kwenye orodha bora ipo ila video ndo namba moja pia sijawakataa ila xs max kushuka chini hao ndowanaongoza kwa malalamiko utasika iphone yangu inachemka mara iphone sio simu mara simu inazima mara kwa mara
 
nasoma comments na Google pixel 4 haina shida vijana wangu 🥱[emoji18][emoji18]
 
Back
Top Bottom