Google pixel 5a 5g

Google pixel 5a 5g

Wewe kwa uelewa wako wa simu hadi sasa, ukiangalia hizo list za Android Authority na Android Central unaona zinamake sense[emoji38][emoji38] Yaani hata mkulima kutoka Bukoba ukimuonesha hii list atashangaa
Halafu mimi sijasema eti kwa kuwa specs ni kubwa basi simu itakuwa bora. Labda nikuandikie kwa herufi kubwa pengine utaelewa. Nimesema hivi, "XIAOMI 13 PRO INAREKODI VIDEO ZA HIGH QUALITY KULIKO GOOGLE PIXEL 7 PRO" mbona unapenda kutoka nje ya mada wewe?
Hiyo Xiaomi 13 Pro ipo officially in China kwa sasa, huku nje ya China watu huagiza kwa kuwa wanataka vitu bora. Kwa hiyo usitegemee kuikuta Xiaomi 13 Pro hapo kwenye list zako mpaka Global version itoke. Hiyo Google Pixel 7 Pro inapitwa hata na Xiaomi 12S Ultra kiuwezo ambalo ni toleo la nyuma kabla ya Xiaomi 13 Pro. Mimi napenda hiyo part unayoiogopa wewe, yaani BATTLE[emoji41][emoji41]
Njoo tuzichambue hizo simu kona mojamoja tuone nani mnyama, mbona hutaki?[emoji23][emoji23]
Ukiwa tayari kwa battle utaniambia
Childish.
 
Childish.
Baada ya kufuatilia mitandaoni na kuona kuwa Xiaomi 13 pro ni kali kuliko Google Pixel 7 Pro sasa umeamua kumaliza mada kwa style hii.
Sawa tu mkuu, cha msingi umeshajua ipi ni kali
 
Utasemaje simu kali bila kuitumia mkuu
 
Duuh bhas mnapoteza mda imagine cjawah tumia Samsung afu nibishan na pixel
Sio kila suala linahitaji experience, kuna mambo mengi sasa yako kiganjani mwako
Marekani ni pazuri, hilo suala watu wengi ambao hata hawajawahi kwenda Marekani wanalijua. Ndio hivyohivyo ilivyo kwenye simu
 
Jibu muhimu sana hili
Screenshot_2023-01-09-11-13-48-162_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 
Simu znazotoka new kila week hazna quality ,na wanaonunua hawajui simu
 
Mliziita iPhone za kike na bado zikaendelea kukua, leo hii hizo simu zenu za kiume haziikamati hiyo iPhone[emoji12][emoji12]
Na sasahivi munaiita Xiaomi ya kike ila kamwe hamtakuja kuikamata[emoji23][emoji23] hizi simu zinapepea kwa kasi ya 5G
 
Iphone sio simu labda ya kuringia ni kawaida kwanza zishakuwa yeboyebo kila kona zipo.

Tambua kufananisha Google pixel na mambo ya ovyo ni kutokuwa mjanja..Naweza kubali kwa pixel 5 kurudi chini maana hapo hardware zake ni old model na alibase kweny software haswa kweny camera ila kuanzia pixel 6 pro hao iphone wakae chini kabisa bado .

Upigaji wa iphone picha kama watu wa Snapchat , level of saturation ni kubwa picha kila mtu ni mweupe hamn uhalisia hii ndo maana inawateka wanawake wengi..
Most of iphone users ni wafuata mkumbo na hawajui chochote ni ile prestige basi ,Nina hakika kama wangekuwa watu wengi ni wafuatiliaji na wana cognitive skills angalau kidogo hata kujua Soc kweny simu nn? Achana na RAM na ROM..Naapa izi simu kama Huawei ,xiam ,zingekuwa na soko sana.
Unfortunately wengi mnafuata mkumbo ndo tatizo .
 
Mimi binafsi huwa ninazikubali Xiaomi, Samsung, Motorola, One Plus, Oppo, Realme, Huawei, Vivo na Google Pixel ila iPhone nazo ni nzuri sana na nilianza kuzipenda hizi simu bila kufuata mkumbo ila limitations za ajabuajabu ndio zilifanya upendo upungue kidogo kwa iPhone
  • iPhone kwenye design yupo vizuri hasa kwenye hii ya flat bar (2.5D), macho matatu na haya mawili ya kulala kama ya iPhone 14 plain. Ila tu sasahivi ananikera, sijui ameishiwa design maana tangu 2019 hadi leo ni macho matatu yaleyale
  • Kwenye iPhone camera zake ni kweli zina saturation kubwa lakini mimi naona hii level ya saturation ni nzuri sana kwa kupiga hata picha za mazingira. Sio tu kwa watu hadi wadada wengi wakazipenda, bali hata kwa picha za environment, wanyama, majengo na kila kitu huwa zinaappear vizuri sana.
  • Display ya iPhone 14 Pro Max inafikia brightness hadi 2000nits. Hili suala ni amazing.
  • iPhone zinatoa video nzuri sana na feature yake kali ya Cinematic Mode
  • iOS nayo haina mpinzani. Hata shapes za icons tu zinavutia. Security ni kubwa kwa sababu inalimit vitu vingi sana, japo hili suala siliafiki. Hii software haina mpinzani aisee.
  • iPhone 14 Pro Max inaweza kukaa chini ya kina cha maji cha 6m kwa dakika 30. Mkuu mita 6 ni nyingi sana
  • Pia kwa flagship, iPhone kwa sasa zinafunika flagship nyingi sana kwenye suala la ukaaji wa charge
  • Messaging na Calling apps za iPhone ni nzuri sana kuliko hizi za Google
  • Ingawa Google Assistant ndio best, ila Siri nayo inakosha aisee
  • Software ya iOS inakuwa supported hadi 6 to 8 years
  • Chipset zao za Bionic nazo ni powerful sana, ingawa RAM analimit kwenye 6GB ila perfomance ni kubwa kuliko baadhi ya simu zenye 12GB RAM
Kwenye storage amefika hadi 1TB. Ila iPhone waliboa kutia 60 Hz kwenye screen za iPhone 11, 12 na 13 ambazo sio Pro na Pro Max halafu bei ni kubwa hatari[emoji23][emoji23]
Sasa mkuu kwa nini unasema iPhone sio simu, hebu nielimishe na mimi nipate uelewa juu ya hizi simu.
 
Mimi binafsi huwa ninazikubali Xiaomi, Samsung, Motorola, Oppo, Realme, Huawei, Vivo na Google Pixel ila iPhone nazo ni nzuri sana na nilianza kuzipenda hizi simu bila kufuata mkumbo ila limitations za ajabuajabu ndio zilifanya upendo upungue kidogo kwa iPhone
  • iPhone kwenye design yupo vizuri hasa kwenye hii ya flat bar (2.5D), macho matatu na haya mawili ya kulala kama ya iPhone 14 plain. Ila tu sasahivi ananikera, sijui ameishiwa design maana tangu 2019 hadi leo ni macho matatu yaleyale
  • Kwenye iPhone camera zake ni kweli zina saturation kubwa lakini mimi naona hii level ya saturation ni nzuri sana kwa kupiga hata picha za mazingira. Sio tu kwa watu hadi wadada wengi wakazipenda, bali hata kwa picha za environment, wanyama, majengo na kila kitu huwa zinaappear vizuri sana.
  • Display ya iPhone 14 Pro Max inafikia brightness hadi 2000nits. Hili suala ni amazing.
  • iPhone zinatoa video nzuri sana na feature yake kali ya Cinematic Mode
  • iOS nayo haina mpinzani. Hata shapes za icons tu zinavutia. Security ni kubwa kwa sababu inalimit vitu vingi sana, japo hili suala siliafiki. Hii software haina mpinzani aisee.
  • iPhone 14 Pro Max inaweza kukaa chini ya kina cha maji cha 6m kwa dakika 30. Mkuu mita 6 ni nyingi sana
  • Pia kwa flagship, iPhone kwa sasa zinafunika flagship nyingi sana kwenye suala la ukaaji wa charge
  • Messaging na Calling apps za iPhone ni nzuri sana kuliko hizi za Google
  • Ingawa Google Assistant ndio best, ila Siri nayo inakosha aisee
  • Software ya iOS inakuwa supported hadi 6 to 8 years
  • Chipset zao za Bionic nazo ni powerful sana, ingawa RAM analimit kwenye 6GB ila perfomance ni kubwa kuliko baadhi ya simu zenye 12GB RAM
Sasa mkuu kwa nini unasema iPhone sio simu, hebu nielimishe na mimi nipate uelewa juu ya hizi simu.
Sina maana sio simu kwa sababu kwanza ya mtazamo cha kwanza iphone users hawaangalii mambo mengi wao ni brand tu ndo maana hata mtu anaweza kufake iphone 12 akaweka cover ili iwe kama iphone 14..

Nina maana gani wewe unajua vitu kibao ila most of iphone users hawajui wao ni brand tu ,tuangalia kweny picha za iphone zile zinakuwa kama zipo edited .

Kiufupi mi iphone siwezi kutumia mpaka sasa hawajanishawishi kwanza simu ni nzito Kama redio ,design fulani kama yaani imekaa kama chuma ..Ni sawa na kutumia Snapchat , TikTok yaani nimeshindwa kabisa

Ni kwamba watumiaji wa iphone wao hawajui baadhi ya sifa wao wanajua kwambaa xiam, sijui oppo, realme, Huawei ,google pixel ni uchafu tu😂😂 labda Samsung kwa sababu brand ni kubwa..
 
Back
Top Bottom