Sidhani kama google wana ulazima wa kuweka details za sehemu ambayo mtu binafsi anaona umuhimu! Kama alivyosema mdau mmoja hapo juu, picha za sattelite ni gharama, na gharama hizo zinalipwa na google; na ni gharama zaidi kuweka street level details kwa sababu inahitakika timu ya ardhini! Na kama wangeacha wazi kwa mtu kuedit bila kureview na kuona ukweli na umuhimu wa info unayotaka kuingiza, usishangae Downing St imeandikwa Bibi Titi St. hahahaa
Amoeba
Ni kweli google hawana ulazima wa kuweka detail za majina tena sehemu ambayo wanajua hawawezi kupata faida. lakini google hao hao wametoa nafasi za watuamiji kuweka input za majina ya mitaaa ,bara bara na hata sehmu za public bure.
Nimechunguza hata mitaa ya kati kati ya jijii kuna majina ya waliochangia . Sasa itakuwa aibu kama katika hao wachangji hakuna muhusika wa wizara ya ardhi au wa TANROADS.
Mfano nenda hapa
Google Map Maker
uki kuzoom jiji la dar maeneo ya kati utoon chini ya ramani kuna contrubutor . Kuna mjina kama
Omar, Salim khatri, Sayed Jafar ,kidogo na wengineo
Kwa hiyo hata ukiona google map ya dar kati kuna majina kama zanaki street, jamuhuri street morogoro road inawezeana sio Juhudi za serikali wala vyombo husika ni juhusi za watu binafis kama kina Sayed. Sasa hapo tutasema serikali yetu iko makini na sayansi na teknolojia????
Kwa hiyo sio suala la gharama kama watu wanvyodai. Ramani za google zinaonyesha mitaa lakini mitaaa haina majina. Wizara ya ardhi na TANROAD wawape watu ajira wafanye entry ramani ya tanzania ishibe na iwe na data sahii. Tukitoka hapo wataalm watengeze
app za uelekeo (Driving direction)
Kazi waliyofaya kina Omar Salim, khatri na kadogo kama sio wafanyakazi waliloipwa kwa kazi hiyo basi wnaahitaji pongezi kubwa
Na ulivysema review ni muhimu kweli kabisa sababu nimejaribu hapa kuingiza jina la mtaa mmoja naambiwa kuna vitu nakosea. Sikosei jina la mtaa bali a kuna vitu amabvyo kwa awataalam wa barabara kwao inaweza kuwa raihisi kujua.
huu ni ujmbe nimepewa
Hi, the segment usage added is inappropriate for this road. Kindly refer this link
Special roads - Map Maker Help for details on segment usage. Also, the priority 'local road' seems more appropriate. Kindly refer this link
Road priorities - Map Maker Help for more information on road priorities. As of now, I will approve and change. Thanks for mapping!
Uhamiaji HQ kurasini pameanza kujengwa 2007 na 2010 wakaanza kutumia jengo lao lkn ajabu ukienda ktk satellite view pale mahali panaonyesha kiwanja tu, hii inaonyesha wkt mwingine hawana mpangilio maana kuna eneo langu la shamba kibaha kuna kibanda tu tena hakina hata mwaka lkn hili eneo limechukuliwa
Yah kwa satelite image zao haziko update mimi sana sana nazungumzia ramani za mtaaa kwa mtaa na barabara. Yaani mapsio satelite. Laini vipi satellite ya ikulu. Je ikulu wanajua hata sisi wakigoma sasa tunaijua ikulu ilivyo au tunayoona ni ikulu pia ni ya mwaka 2007 ?