Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Yap wa kuu juwaa la teknolojia ni aje bajameni.......
Nilikuwa ninacheki google map ya tanzania lakini nikashangaa. Mnaweza kuisahihsia au unilekeza kama una kitu naoneana kutojua
Nawasilisha
Nilikuwa ninacheki google map ya tanzania lakini nikashangaa. Mnaweza kuisahihsia au unilekeza kama una kitu naoneana kutojua
- Google map information za majina ya mitaa na bara bara za dar zilizokuwa published walizitoa au wanazitoa wapi ?
- Mbona na wilaya nyingine za tanzania information zake haziko detailed kama ilivyo dar es saalaam ( mambo kama majina Bara bara, mitaaa ,nk)?
- Nini kinatakiwa kufanyika detail hizi za mitaa na majina ya barabara za mikoa na wilaya nyingi zaidi ziingie kwenye gooogle map?
- Ni wajibu wa nani kutoa detail hizo?
- Je wizara ya ardhi au hata wizara ya utalii hakuna watu ambao wajibu wao wa kila siku unahusiana na Google map. kama hakuna hawalifikiria hilo?
Nawasilisha