Google imesema mwaka huu Watu wote wataipenda Google Messages bhana ππ
Google inaandaa UI mpya(muonekano mpya)kabisa wa Google Messages ππ± β na kwa kweli, muonekano wake unaonekana safi, wa kisasa na rahisi zaidi kutumika!
π Search inahamia chini kwa matumizi rahisi ya mkono mmoja
β¨ Gemini inapata nafasi mpya juu
π¬ Kitufe cha kuanzisha chat kinabadilishwa.
π§ Search ndani yake inakupa maboresho makubwa ya kukupa uwezo wa kutafuta picha, video, links na messages zako kwa urahisi zaidi.
Kwa kifupi, Google Messages inaonekana kuingia level nyingine kabisa! π π Wewe Unaionaje huu muonekano mpya ?