๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ฎ ๐˜‚๐—ฝ๐—ฑ๐—ฎ๐˜๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—ป๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฑ ๐Ÿญ๐Ÿณ ๐—ค๐—ฃ๐—ฅ ๐—•๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐Ÿญ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฃ๐—ถ๐˜…๐—ฒ๐—น

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,293
Reaction score
2,623


Google imeanza kusambaza Android 17 QPR1 Beta 9 kwa watumiaji wa Pixel, ikiwa imejikita zaidi kwenye kuboresha stability, performance na kurekebisha bugs. ๐Ÿ“ฑโšก

Google iliitoa update hii Toka 17 Agosti 2026, ikiwa na build CP31.260623.012. Je ๐Ÿš€ Nini kipya kwenye Beta 9 ?

๐Ÿ”„ Fix ya reboot loop: baadhi ya Pixel zilikuwa zinajirestart kila baada ya takribani sekunde 20โ€“30; Beta 9 inalenga kurekebisha tatizo hilo.

๐Ÿ”‹ Battery drain imeboreshwa, hasa kwenye mazingira yaliyokuwa yanasababisha matumizi yasiyo ya kawaida.

๐Ÿ” Circle to Search: Google imerekebisha tatizo ambapo gesture ya kubadilisha apps kutoka chini ya screen inaweza kushindwa kufanya kazi baada ya kutumia Circle to Search.

๐Ÿ”Š Kuna pia marekebisho kadhaa yanayohusiana na audio/media, pamoja na matatizo mengine ya mfumo.

Hii ni moja ya hatua za mwisho kuelekea Android 17 QPR1 Stable. Watumiaji wa Pixel, mmeipokea tayari?Bongotech255 ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ