Google Adsense

Mm mwenyewe sina majibu
wabongo bwana..yani kumwambia baadhi ya template kama hayo ma-template ya code nirvana yana support kiswahili unaona shida.. kwanza hayo ma-template ni hovyo kabisa kwa kuwa haya index na google so kupata visitors lazima u-share kwenye social network.. nadhani hilo hulijui!!!!!!
 

Siajkuelewa unaongelea nini.
 
kwa wazoefu hapa inapoelekea ntaweza pawe or bado ugumu upo maana mara ya kwanza sikufika uku.
 
Habari, wanaIT nimeona threads nying humu ndani watu wanasema google adsense ni ngumu kupata, mbona mimi nimepata kirahisi tu nilivyofata masharti yao na wamenipa. Kwanza waliniambia itakuwa blank then after on day waka activate na sasa yanaonekana.
nina blog zangu 2 hizi Paschal Silaa's BLOG na tech hacks you should know zina contents na traffics za kutosha ntawezaje kupata matangazo ya google adsence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…