Asante ngoja niangalie utaratibu.Card yako imewezeshwa kufanya manunuzi mtandaoni (online purchase)? Kama haijawezeshwa haiwez kukubali.
Ni kweli nimeangalia ile offer ya 99% off haipo. Sijui utaipataje tena.
Kama hiyo elfu 24 kwa mwaka bado ni ghali kwako, jaribu kucheck namecheap. com wapo pia wanauza domain kwa bei rahisi
Domain umenunua wapi na kiasi gani?sio bei cheki hii yangu SafariAfricaBlog hapo nimetumia tsh4000 tu mpaka hapo
Nasubiria adsense nikiwa navuna pesa adsterra
GodadyDomain umenunua wapi na kiasi gani?
Mkuu naomba unisaidie kwenye site yangu ya WORDPRESSKuna blog yangu moja ilikuwa blogger kwa zaid ya mwaka na nusu.
Kwenye blogger nilikuwa nimeifanyia optimization zote za SEO na kila kitu (site structure, schema, rich snippets, core web vitals etc.)
Mwaka jana mwezi wa tisa niliiamishia WordPress. Traffic yangu iliongezeka kwa zaid ya asilimia 200%.
Nilichojifunza, kama unategema organic traffic, kutumia blogger is just a struggle.
Namsubilia na mimi kesho nahamia wordpress jamaa kanifungua machoMkuu naomba unisaidie kwenye site yangu ya WORDPRESS
Nikusaidie nini mkuuMkuu naomba unisaidie kwenye site yangu ya WORDPRESS
Tumia Lugha Ya Kingereza Mkuu Adsense wanakataa Kiswahilisio bei cheki hii yangu SafariAfricaBlog hapo nimetumia tsh4000 tu mpaka hapo
Nasubiria adsense nikiwa navuna pesa adsterra
Situmii tena blogu mimi ni mvivu kwenye content sasa nina forum ambayo user ndio wanatengeneze content tuTumia Lugha Ya Kingereza Mkuu Adsense wanakataa Kiswahili
aah unapataje earning? au nayo kuna ads kama za adsenseSitumii tena blogu mimi ni mvivu kwenye content sasa nina forum ambayo user ndio wanatengeneze content tu
Tupige kazi Mkuu Nipo hapaNaitaji msaada wa mtu kuniwekea Mambo sawa katoka blog yangu ili niwenz kuniwekea matangazo ya AdSense
Kuwa specific Dada tufanye biznenga hiyoNaitaji msaada wa mtu kuniwekea Mambo sawa katoka blog yangu ili niwenz kuniwekea matangazo ya AdSense
nimekuelewa kaka Ila mim cyo Dada ili nijina tu nalotumia baada ya acc kufungiwaKuwa specific Dada tufanye biznenga hiyo
Samahani ndugu, majina haya daah! Let's talk biznenga kakanimekuelewa kaka Ila mim cyo Dada ili nijina tu nalotumia baada ya acc kufungiwa
Njia rahisi ya kumonitize blog ni ads ila Kwa blog ya kiswahili ads ni changamoto. Utaishia kukera watembeleaji tu.Uzi ulikuwa murua sana huu, nina blog ya kiswahili nalaza pageviewer zaidi ya laki na nusu kwa siku, nawezaje kuimonetize?
Njoo nikupigie kazi kiongozi kwa mkataba usio hitaji pesa wala niniUzi ulikuwa murua sana huu, nina blog ya kiswahili nalaza pageviewer zaidi ya laki na nusu kwa siku, nawezaje kuimonetize?
Watazamaji anao wengi na pesa anapiga ya kwenda tu kila mweziNjia rahisi ya kumonitize blog ni ads ila Kwa blog ya kiswahili ads ni changamoto. Utaishia kukera watembeleaji tu.
Muelekeze basi AKILI TATU apige ela. Pengine na mimi na wengine tutajifunza piaWatazamaji anao wengi na pesa anapiga ya kwenda tu kila mwez