Goodluck Jonathan atashindwa uchaguzi Nigeria

Goodluck Jonathan atashindwa uchaguzi Nigeria

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,303
Goodluck Jonathan, hatoshinda uchaguzi. Mshindi atakuwa GENERAL MOHAMED BUHARI.

MARK MY WORDS.
 
Wacha Ashindwe Tu,hakuna Rais Mjinga Na Zoba Kama Yule.
 
Kwa jinsi viongozi wetu wengi wa nchi za kiafrika walivyokubuhu katika wizi wa kura,hilo la goodluck kushindwa naliona kama sio rahisi kiviiile...

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Goodluck Jonathan, hatoshinda uchaguzi. Mshindi atakuwa GENERAL MOHAMED BUHARI. MARK MY WORDS

The poor guy is pathetic to say the least! Kuahirisha uchaguzi na Kumfukuza Gen Obasanjo kutoka UPDP were the last nails in Jonathan's coffin! good riddance
 
Unajua maana ya jina 'GOODLUCK' ?

huyu alikua naibu Gavana...gavana akaondolewa yeye akarithi ugavana kamili

baadae akawa makamu Rais.Rais akafa akarithi yeye urais..

he is just too lucky....
 
Unajua maana ya jina 'GOODLUCK' ?

huyu alikua naibu Gavana...gavana akaondolewa yeye akarithi ugavana kamili

baadae akawa makamu Rais.Rais akafa akarithi yeye urais..

he is just too lucky....
bahati utengenezwa ,hata nuhu alijitengenezea safina ukikaa tu nyumbani bahati haikufuati,inawezekana kwa mazingira ya naijeria udini,rushwa,usanii wa hali ya juuu lolote likatokea
 
Yani kama dk tano kuna mwenzangu alikuwa ananijuza kuhusu GoodLuck...
Akanambia hajawai kugombea urais alichukua madaraka baada ya rais kufa...
Wala nilikuwa sina habare...

Kumbe hata huyo alochana kadi ni wa North japo ni Mkristu..no wonder yuko against Goodluck...wana ukanda sana hawa watu...
Jamaa amenisimulia juu ya vita vya sijui Bihafla na jinsi Tanzania inavyochukiwa na Nigeria sababu tulikuwa tuna support South kujitenga enzi za mwalimu...amesema kumbe Nigeria waliamua kum support Idd Amini sababu ya alichokifanya mwalimu kuunga mkono kuigawa Nigeria...sababu watu wa SOuth wamekuwa wanabaguliwa na wa North ambao for so long walikuwa wanaendesha nchi

Unajua maana ya jina 'GOODLUCK' ?

huyu alikua naibu Gavana...gavana akaondolewa yeye akarithi ugavana kamili

baadae akawa makamu Rais.Rais akafa akarithi yeye urais..

he is just too lucky....
 
Unajua maana ya jina 'GOODLUCK' ?

huyu alikua naibu Gavana...gavana akaondolewa yeye akarithi ugavana kamili

baadae akawa makamu Rais.Rais akafa akarithi yeye urais..

he is just too lucky....

Jamaa atashinda kwa mizengwe tu.

It is seldom for incumbent African presidents to lose elections and re-elections.

Tena sasa hivi walivyouahirisha uchaguzi ndo kabisa Buhari hana chance.
 
Yani kama dk tano kuna mwenzangu alikuwa ananijuza kuhusu GoodLuck...
Akanambia hajawai kugombea urais alichukua madaraka baada ya rais kufa...
Wala nilikuwa sina habare...

Kumbe hata huyo alochana kadi ni wa North japo ni Mkristu..no wonder yuko against Goodluck...wana ukanda sana hawa watu...
Jamaa amenisimulia juu ya vita vya sijui Bihafla na jinsi Tanzania inavyochukiwa na Nigeria sababu tulikuwa tuna support South kujitenga enzi za mwalimu...amesema kumbe Nigeria waliamua kum support Idd Amini sababu ya alichokifanya mwalimu kuunga mkono kuigawa Nigeria...sababu watu wa SOuth wamekuwa wanabaguliwa na wa North ambao for so long walikuwa wanaendesha nchi

Biggest threat ya Goodluck wala sio Buhari
biggest threat ni Obasanjo.....kama Obasanjo akiamua kum support Buhari hapo kazi ipo
Obasanjo ni very powerfull still....ingawa akim support Buhari itakula kwake
sababu wote ni majenerali...Buhari hatam ruhusu aendelee kuwa powerful
 
The poor guy is pathetic to say the least! Kuahirisha uchaguzi na Kumfukuza Gen Obasanjo kutoka UPDP were the last nails in Jonathan's coffin! good riddance
You got it wrong..

1. Goodluck Jonathan hajaaihirisha uchaguzi na hana mamlaka hayo na hana ushawishi kwenye tume ya ichaguzi, Goodluck Jonathan na wafuasi wake wanailalamikia tume na Mwenyekiti wake kuwa wana wahujumu.Mfano mmojawapo wa kuhujumiwa ni kwa tume badala ya kusema kuwa tume haijakamilisha kugawa kadi kwa wapiga kura Million 20 na hivyo uchaguzi unapaswa uaihirishwe ili wapiga kura hao wapewe kadi zao lakin tume wakati ikiahirisha uchaguzi haikugusia hilo kosa la tume na badala yake ikasema tu kuwa wanahairisha kwa sababu ya usalama ambayo maana yake Goodluck Jonathan kashindwa kuleta usalama.Ambao ni kampeni slogan ya General Buhari.

2. Jonathan hajamfukuza Obasanjo bali Obasanjo ndio kajitoa kwenye chama.
 
Biggest threat ya Goodluck wala sio Buhari
biggest threat ni Obasanjo.....kama Obasanjo akiamua kum support Buhari hapo kazi ipo
Obasanjo ni very powerfull still....ingawa akim support Buhari itakula kwake
sababu wote ni majenerali...Buhari hatam ruhusu aendelee kuwa powerful

Obasanjo sio threat kwa Jonathan maana hana wapiga kura.Watakaomuondoa Jonathan ni wapiga kura wa Kaskazini waliko Waislam majority ambapo miaka iliyopita walikuwa wamegawanyika sana ila mwaka huu wameungana kwenye chama kimoja.

Na kwa kuwa majority ya wapiga kura Nigeria wapo Kaskazini basi anayeungwa mkono na Waislam wa Kaskazini ndio anauwezekano mkubwa wa kushinda.

Obasanjo waliokuwa wapiga kura wake kwa ukristo wake ni watu wa kusini, ambao hana uwezo wa kuwatoa kwa Jonathan, ni sawa na Mwai Kibaki amuunge mkono Raila Odinga dhidi ya Mkikuyu Uhuru Kenyatta alafu utegemee Wakikuyu watampa kura Mjaluo Raila na kumuacha Mkikuyu wao, Uhuru.Ndivyo ilivyo kwa Obasanjo na Jonathan.Obasanjo hana ushawishi sasa kwa wapiga kura waKristo, siasa za Nigeria ni za kidini kwa kiwango kikubwa.
 
YESU WWa GOODLUCK UTAMTAMBUA KWA MATENDO
 
YESU WWa GOODLUCK UTAMTAMBUA KWA MATENDO

Kama Goodluck Jonathan atashinda basi kweli huo utapaswa kiitwa muujiza..sioni atashindaje...kumbuka Waislam wa Kaskazini ni takriban 60% ya wapiga kura.
 
nimefuatilia kwenye forum yao Nairaland na twitter Jonathan bado ana support

Kutokana na tofauti ya kielimu kama ilivyosehemu nyingi kwa sababu ya sababu za kihistoria kati maeneo ya wakristo na maeneo ya waislam tegemea Wakristo wengi zaidi kuwa kwenye hizo forum na twitter kuliko waislam.

Lakini wapiga kura wengi ni hao silent majority-Waislam wa Kaskazini ambao Jonathan hatapata kura yao.
 
Kama Goodluck Jonathan atashinda basi kweli huo utapaswa kiitwa muujiza..sioni atashindaje...kumbuka Waislam wa Kaskazini ni takriban 60% ya wapiga kura.
Alipogombea walikuwa 60% akashinda kupitia jina LA majeshi Yesu anazareth
 
Back
Top Bottom