Goodluck Jonathan, hatoshinda uchaguzi. Mshindi atakuwa GENERAL MOHAMED BUHARI.
MARK MY WORDS.
Yani kama dk tano kuna mwenzangu alikuwa ananijuza kuhusu GoodLuck...
Akanambia hajawai kugombea urais alichukua madaraka baada ya rais kufa...
Wala nilikuwa sina habare...
Kumbe hata huyo alochana kadi ni wa North japo ni Mkristu..no wonder yuko against Goodluck...wana ukanda sana hawa watu...
Jamaa amenisimulia juu ya vita vya sijui Bihafla na jinsi Tanzania inavyochukiwa na Nigeria sababu tulikuwa tuna support South kujitenga enzi za mwalimu...amesema kumbe Nigeria waliamua kum support Idd Amini sababu ya alichokifanya mwalimu kuunga mkono kuigawa Nigeria...sababu watu wa SOuth wamekuwa wanabaguliwa na wa North ambao for so long walikuwa wanaendesha nchi
You got it wrong..
1. Goodluck Jonathan hajaaihirisha uchaguzi na hana mamlaka hayo na hana ushawishi kwenye tume ya ichaguzi, Goodluck Jonathan na wafuasi wake wanailalamikia tume na Mwenyekiti wake kuwa wana wahujumu.Mfano mmojawapo wa kuhujumiwa ni kwa tume badala ya kusema kuwa tume haijakamilisha kugawa kadi kwa wapiga kura Million 20 na hivyo uchaguzi unapaswa uaihirishwe ili wapiga kura hao wapewe kadi zao lakin tume wakati ikiahirisha uchaguzi haikugusia hilo kosa la tume na badala yake ikasema tu kuwa wanahairisha kwa sababu ya usalama ambayo maana yake Goodluck Jonathan kashindwa kuleta usalama.Ambao ni kampeni slogan ya General Buhari.
2. Jonathan hajamfukuza Obasanjo bali Obasanjo ndio kajitoa kwenye chama.
Gen Obasanjo sio mtu wakuamuka asubuhi akajitoa kwenye chama alichosaidia kukiasisi! unapomsikia Gen Obasanjo; kwa nafasi yake kama former military ruler na democratic head of state; anaijua Nigeria kuliko wewe na mie hapa! analalamikia kitendo cha kuahirisha uchaguzi; there is something fishing there!! kelele za Jonathan ni political acrobatics tu kama za Napi Nauye! think out of the box!
Anyway; when all is said and done; Upangaji wa Jonathan pale katika mjengo wa ASSO ROCK VILLA; (Ikulu ya Nigeria) jijini Abuja umefikia tamati.
Obasanjo kila nafasi anayoipata uitumia kumponda Jonathan maana Jonathan so sio ajabu kwake kusema hivyo.
Na ilikuwa ni lazima aondoke kwenye chama kwa sababu pamoja na kelele zake dhidi ya Jonathan ambapo alidhan kwa ukingunge wake kila mtu kwenye chama atetemeke kqa sababu Obasanjo kasema, lakin alipoona kwenye chama anapuuzwa na heshima yake inazidi kushuka then hakuwa na option.https://www.youtube.com/watch?v=WMB5XfvMQRk
Nakubaliana nawe kuwa siku za Jonathan ikulu zinahesabika lakin ni kwa sababu Wakaskazini wameungana na ndipo wapiga kura wengi walipo.Effect ya Obasanjo kwenye kushindwa kwa Jonathan haipo.
Obasanjo factor ipo kwenye kushindwa kwa Jonathan kwa sababu as a fellow and influential southerner; by any standards! effect ya spurt hiyo ni kupunguza kura za Wayoruba a strong obasanjo constituecy, ambapo Jonathan anatoka Beylesa; jimbo dogo na kabila dogo compared to Obasanjo; Yorubas ni wengi na wako inclined for right or wrong reasons watamuunga mkono Obasanjo na kupeleka block vote yao kwa Mo Buhari as a fellow army Gen.
Katika siasa za Nigeria; mtu influential kama Obasanjo kina Jonathan; a political upstart compared to Obasanjo; walitakiwa kuwa waangalifu sana jinsi ya kumdhibiti! anyway choices have consequences; Jonathan aanze kufungasha virago kuondoka Asso Rock; na wakijaribu kuchakachua uchaguzi kifuatacho ni Coup detat! kwa sababu the north wanadhani it is their turn kupanga Asso rock Abuja, Obasanjo is an added spice to the recipe!
Gen Obasanjo sio mtu wakuamuka asubuhi akajitoa kwenye chama alichosaidia kukiasisi! unapomsikia Gen Obasanjo; kwa nafasi yake kama former military ruler na democratic head of state; anaijua Nigeria kuliko wewe na mie hapa! analalamikia kitendo cha kuahirisha uchaguzi; there is something fishing there!! kelele za Jonathan ni political acrobatics tu kama za Napi Nauye! think out of the box!
Anyway; when all is said and done; Upangaji wa Jonathan pale katika mjengo wa ASSO ROCK VILLA; (Ikulu ya Nigeria) jijini Abuja umefikia tamati.
Unajua maana ya jina 'GOODLUCK' ?
huyu alikua naibu Gavana...gavana akaondolewa yeye akarithi ugavana kamili
baadae akawa makamu Rais.Rais akafa akarithi yeye urais..
he is just too lucky....