Goodluck Gozbert sio mwimbaji wa Gospel

Umezungumza myth

Kitoto cha Eliza kiliposikia sauti ya Mariamu kikaruka kwani mariamu alikuwa na mimba ya Yesu

Maana yake, spirit are connected when they are compatible

Ikiwa wakristo wengi wanasikiliza nyimbo zake na kuzipenda na kuzikubali maana yake wako connected

Kuwa wengi hawa wataenda motoni, ni wewe umesema sio bible

Swali ni je hao waimbaji wa kweli ambao wewe unaona wako sahihi wako wapi? Akina nani?

Nyimbo kusikilizwa mpaka virabuni mbona nyingi tu?

Unasema kuwa njia iendayo upotevuni ni pana nao waingiao ni wengi unasema ni maneno yangu mimi? Kwamba haijaandikwa kwenye Biblia takatifu?

Soma Inji ya Mathayo 7:13

Kutokuwepo kwa waimbaji wa kweli hakufanyi hao waimbaji wasakapesa kuwa halali

Kwanza naamini wapo sema wengine hawana access to social media .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnafiki wewe

kabla ya kufika mathayo 7:13

ungeanza mstari wa kwanza unaosema USIHUKUMU

Mathayo 7:1
 
Hana checklist, sababu, criteria, methodology au standard inayosema this is gospel na this js not gospel

Kuna miziki yenye maadhi ya taratibu na vinanda siku hizi zina matusi mwanzo mwisho

Yeye kaangalia mdundo, sio maneno... Kasahau maneno ndio yametengeneza video... Na ndio uhalisia wa maisha tunayoishi
Umeeleza vyema kabisa, mkuu. Yeye ametumia kigezo cha mdundo, flow na video tu. Hajajua Gospel ni zaidi ya hivyo vitu.
 
1.Simchukii Goodluck Gozbert...Amri kuu inasema Pendaneni kama nilivyowapenda ninyi..ila sikubaliani na matendo yake..Biblia inatuambia tuukemee uovu tunapouona... Msiziami kila Roho bali zijaribuni kupima kama zinaendana na matendo ya ufalme wa nuru.

2.Naomba ukasome tena maana ya kuhukumu utofautishe na neno kukosoa, naona unatumia neno hili vibaya/pasipo staili.

3.Hauwezi kumshurutisha mtu atubu kwa kuwa hajakubaliana na mtazamo wako kwenye jambo fulani...Hii ni kama unajiona mkamilifu kutokana na hoja zako na kuwa wasiokuwa upande wako wanakosea.

4.Siasa (Si hasa) imeharibu uhalisia wa hoja zako (Sitatoa maelezo hapa, nakuacha ujitafakari)
Haujampenda Goodluck ndugu

Ushachanganyikiwa sasa

Umesema jambo ambalo alipaswa kusema Mungu tu....umehukumu, umetumia hisia...nyie ndio mnaua watu wenye macho mekundu kwa kudhania wachawi

Unajua how congo music na cheza yake ilivyokamata makanisani? Ukiangalia congolese music nje ya kanisa ikoje?

Wewe Tubu tu

1.kwa kujifanya Mungu.

Kama sio

2.kwa kuhukumu

Kibiblia sioni unachomokea wapi

If all is true bado ulipaswa kuheshimu.. maana Yesu anasema msiponisifu MAWE yatasimama

Somewhere then church failed mpaka huyu kaja na wimbo?? Ziko wapi hizo za ukweli kwenye jamii??

In biblical context basi ni JIWE ambaye kasimamishwa na Yesu.... Still ulipaswa KUHESHIMU

Dogo tubu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Umeleta hoja ya mziki wa Congo...Sijasema kama huu mziki ndio gospel ya kweli (sijui imekujaje, labda ni njia ya ku-jistfy hoja zako)...Labda usome uzi wangu tena (najua umeshaurudia mara kadhaa).

2.Swala la kuonyesha kuwa kanisa lili-fail ndio maana akaja na huo wimbo...This makes no sense..Hakuna sehemu ambayo inazungumzia kufeli kwa kanisa (Embu utazame huo wimbo tena)

Again,Asante kwa kuchangia.Ni mawazo mazuri sana japo nadhani sio ya uzi huu

Mkuu Chachasteven, Gozbert mimi mwenyewe nilikuwa namtilia mashaka sana mara niliposikia nyimbo zake kwa mara ya kwanza, lakini wimbo huu alioutoa ndio ulithibitisha kwamba huyo hakiki sio Mtumishi, yaani sio muimbaji wa Nyimbo za Injili bali huyo ni wale wanaoitwa wasanii wa nyimbo za injili, itoshe tu kutambua na hakuna haja ya kubishana hapa, naamini hata yeye mwenyewe analijua hilo, na anashangaa anapoona kuna watu wanamtetea, Kuimba Injili inataka Mtu uwe na Wito na pia Ushuhuda, sio kujiimbia tu kwa sababu unaweza kuimba, sijajua wewe msimamo wako kiimani ni upi, yawezekana unaweza kuwa unamtetea ukifurahi kuona jinsi anavyowapoteza watu wengi watakaochagua kumfuata, lakini kama wewe unatamani kuona watu wanapewa iliyo kweli kwenye Injili nadhani tusaidiane kuwakosoa watu kama Gozbert waache mara moja kusaidia wanaoutukana Ukristo kwa sababu ya style zao za Uimbaji, nakuhakikishia asipokemewa atakuja kufanya vituko sana kwenye aina hiyo ya uenezaji wa Injili.
Hakuna binadamu mkamilifu Ila mtu anayemtetea Good luck Gosbert kuwa ni mwimbaji wa injili ni mtu ambaye hajawah fungua Biblia na kusoma japo fungu moja....
Gosbert ni mwimbaji wa bongo fleva , miaka ya nyuma alikuwa anajiita (Lolypup), amewatungia nyimbo nying Sana akina Baracka da prince , Mo music n.k na pia kagonga beat nying Tu za Hawa watu , m.f siachani nawe ya Baracka da prince beat katengeneza yeye......injili ilikuwa kivuli Tu Ila sa hv kaanza kujionyesha rangi yake halisi....
Huyu Mwamba namwelewa kitambo sema huwa nawachora Tu wanaomtetea , they know nothing
 
1.Umeleta hoja ya mziki wa Congo...Sijasema kama huu mziki ndio gospel ya kweli (sijui imekujaje, labda ni njia ya ku-jistfy hoja zako)...Labda usome uzi wangu tena (najua umeshaurudia mara kadhaa).

2.Swala la kuonyesha kuwa kanisa lili-fail ndio maana akaja na huo wimbo...This makes no sense..Hakuna sehemu ambayo inazungumzia kufeli kwa kanisa (Embu utazame huo wimbo tena)

Again,Asante kwa kuchangia.Ni mawazo mazuri sana japo nadhani sio ya uzi huu

Sent using Jamii Forums mobile app

Haujatubu mpaka saa hizi

Exposure ndogo dogo

That is real gospel

Video imeendana kabisa na theme ya wimbo

Tubu tu huna pa kutokea, jikaze
 
1.Simchukii Goodluck Gozbert...Amri kuu inasema Pendaneni kama nilivyowapenda ninyi..ila sikubaliani na matendo yake..Biblia inatuambia tuukemee uovu tunapouona... Msiziami kila Roho bali zijaribuni kupima kama zinaendana na matendo ya ufalme wa nuru.

2.Naomba ukasome tena maana ya kuhukumu utofautishe na neno kukosoa, naona unatumia neno hili vibaya/pasipo staili.

3.Hauwezi kumshurutisha mtu atubu kwa kuwa hajakubaliana na mtazamo wako kwenye jambo fulani...Hii ni kama unajiona mkamilifu kutokana na hoja zako na kuwa wasiokuwa upande wako wanakosea.

4.Siasa (Si hasa) imeharibu uhalisia wa hoja zako (Sitatoa maelezo hapa, nakuacha ujitafakari)

Sent using Jamii Forums mobile app

Umehukumu

Umechukua nafasi ya Mungu

Umeweka mtazamo wako, umekosea that is dini sio siasa

Ume abuse mathayo 7:1

Hauna kipengele cha bible kinachotetea opnions zako kwenye ule wimbo
 
Hakuna binadamu mkamilifu Ila mtu anayemtetea Good luck Gosbert kuwa ni mwimbaji wa injili ni mtu ambaye hajawah fungua Biblia na kusoma japo fungu moja....
Gosbert ni mwimbaji wa bongo fleva , miaka ya nyuma alikuwa anajiita (Lolypup), amewatungia nyimbo nying Sana akina Baracka da prince , Mo music n.k na pia kagonga beat nying Tu za Hawa watu , m.f siachani nawe ya Baracka da prince beat katengeneza yeye......injili ilikuwa kivuli Tu Ila sa hv kaanza kujionyesha rangi yake halisi....
Huyu Mwamba namwelewa kitambo sema huwa nawachora Tu wanaomtetea , they know nothing

Sijaelewa

Naona kumsifu Mungu umetenga....huyu anaruhusiwa na huyu haruhusiwi...Mungu hayuko hivyo, ndio maana sio Athumani

Well kaangalie kazi ya msalaba kazi ya Yesu, he is dealing with sinners

Chidumule, kanye west na other big singer akiwemo whitney, michael....waliimba na wanaimba gospel

Content ya wimbo haina uhusiano na mwimbaji!!!!!

Unachosema you need holy ones to sing gosper!!! ??????Wrong

Wanakwaya, na unaowajua wanaimba miziki ya injili wanatenda dhambi na wana dhambi zao!! Nyingi tu ila haujui

Kujua huyu anafanya dhambi fulani, HAKUONDOI KUWA WIMBO WAKE NI WA GOSPEL

BEN pol juzi katoa wimbo wa Ebenezer...

Wimbo bado unakuwa wa injili na kumsifu Mungu jomba
 
1 Yohana 2:15 Msiipende dunia wala mambo yaliyomo duniani. Kama mtu akiipenda dunia, hawezi kumpenda Baba.

Waefeso 5:11 Msishiriki matendo ya giza yasiyofaa, bali yafichueni.

Umehukumu

Umechukua nafasi ya Mungu

Umeweka mtazamo wako, umekosea that is dini sio siasa

Ume abuse mathayo 7:1

Hauna kipengele cha bible kinachotetea opnions zako kwenye ule wimbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimegundua point zako ni zile zile tangu umeanza kuchangia kwenye uzi huu...I doubt we might be having a conversation with a malfunctioning machine.

Again,,Siasa imeharibu uhalisia wa hoja zako.Jitafakari sana @Waberoya.Unastruggle sana kutafuta point za kuchangia kwenye uzi huu unaohusu gospel.Na haujajua kuwa umekuwa una point zile zile tena zisizo na evidence (soma point zako). Waberoya,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom