Goodbye my friend

Goodbye my friend

sokwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
2,022
Reaction score
1,062
Nasikitika nimepata taarifa za kunishtua cha kifo cha rafiki yangu tulikuwa sote kitambo udsm, amefariki baada ya kuwekea sumu kwenye beer, mshikaji alishaoa ila inasemekana alikuwa anatoka na mke wa mtu na mwenye mke alishamuonya,tafadhalini mabibi na mabwana heshimuni mahusiano yenu, Nimesikitika sana,mkewe ni mtu mzuri sana hata siwezi kuongea nae at the moment, nilikuwa kazin nimeamua kurudi nyumbani kichwa hakifanyi kazi.
 
Pole sana kwa msiba sokwe!Inasikitisha uhai wa mtu usitishwe kwaajili ya starehe za dakika chache..Tuache uzinifu jamani,WE HAVE TO THINK ABOUT THE CONSENQUENCES OF OUR ACTIONS!
 
Last edited by a moderator:
Dah.. Wewe acha tu hata sijui niseme nn.
 
Mama alinionya kutocheza na mke wa mtu nilimuahidi sitofanya Abadan, nilikuja kutoka na dada mmoja ambaye mumewe ni mtu mzito serikali ila hakuniambia Kama ameolewa mwanzoni, alikuja kuniambia ameolewa baadae ila Hana mahusiano mazuri na mumewe ila kwangu ilikuwa mwisho wa mahusiano yetu na mpaka sasa ananichukia japokuwa ame divorce na mumewe! Chunguzeni wenza wenu kabla hamjaingia kwenye mahusiano.
 
sokwe pole sana Mkuu!

Mapenzi yanauawa jamani.
 
Last edited by a moderator:
Qur'an

17:32. Wala msikaribie uzinzi. Hakika huo ni uchafu na njia mbaya.
 
Nasikitika nimepata taarifa za kunishtua cha kifo cha rafiki yangu tulikuwa sote kitambo udsm, amefariki baada ya kuwekea sumu kwenye beer, mshikaji alishaoa ila inasemekana alikuwa anatoka na mke wa mtu na mwenye mke alishamuonya,tafadhalini mabibi na mabwana heshimuni mahusiano yenu, Nimesikitika sana,mkewe ni mtu mzuri sana hata siwezi kuongea nae at the moment, nilikuwa kazin nimeamua kurudi nyumbani kichwa hakifanyi kazi.

pole sana mkuu,rip kaka,sio siri kwa sasa inabidi tujiangalie sana katika mahusiano.yaani saa hizi haijulikani mahusiano gani ya ndoa na mahusiano gani sio ya ndo.enzi zetu mtu alikuwa akikuzingua,au demu mwenyewe unaghairi,unajisemea tu,mtu mwenyewe sio mke wangu na sijamuoa,so unachapa lapa.lakini siku hizi wivu ndani ya ndoa unaua nje ya ndoa nako si salama
 
watu mkishaoana mnaanza kucheza fairplay,chezeni total football hamtamegewa.Rip rafiki
 
Dah bastola,sumu kabaang! Tutawajuaje kama ni wake za watu sasa?
 
pole sana kamanda. Mungu akupe subira ktk hiki kigumu cha kufiwa na rafiki yako. kila roho itaonja mauti. bwana ametoa, bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe. amin.
 
dah rest in peace bro mbele yako nyuma yetu! ila tunakoelekea option ya ndoa itakuwa uzushi tu,ni cheating, bastola, tembezwa uchi ,conc suphulic acid,migodi ya Hela, na magonjwa juuu duhh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom