Nasikitika nimepata taarifa za kunishtua cha kifo cha rafiki yangu tulikuwa sote kitambo udsm, amefariki baada ya kuwekea sumu kwenye beer, mshikaji alishaoa ila inasemekana alikuwa anatoka na mke wa mtu na mwenye mke alishamuonya,tafadhalini mabibi na mabwana heshimuni mahusiano yenu, Nimesikitika sana,mkewe ni mtu mzuri sana hata siwezi kuongea nae at the moment, nilikuwa kazin nimeamua kurudi nyumbani kichwa hakifanyi kazi.
Kwan me ntaoa?thubuuutu.pole mkuu
Apumnzike kwa amani,mgodi upi?isije kuwa namfahamuHapana haitakuwa busara kutaja jina lake hapa, ila alikuwa mhandisi kwenye mgodi shinyanga, nilizungumza nae Kama siku 5 zilizopita tumeongea mengi kuhusu maisha na kuonyesha ni mwenye furaha na ndoa yake na career yake, nikamuahidi kwenda kuwatembelea nikianza likizo, inauma sana, Asante preta! Mzima lakini?
pole sana kamanda. Mungu akupe subira ktk hiki kigumu cha kufiwa na rafiki yako. kila roho itaonja mauti. bwana ametoa, bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe. amin.
So sad,
Rest in Hell, Mlamba Wake za Watu!