Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,435
- 1,967
Indeed Indeed. Kuna watu wamepewa kazi maalum kumchafua hawatashinda Aslani!Waafrika wanamuongelea Dr John Pombe Magufuli.
Waafrika wanapata uhuru wa kweli kupitia kifo cha Rais Magufuli.
Waafrika wanatolewa usingizini na kupata hamasa za ukombozi...
Waafrika wanajifunza ukweli wa maisha duniani.