Good people never live longer but their legacy survive ages!

Good people never live longer but their legacy survive ages!

Waafrika wanamuongelea Dr John Pombe Magufuli.
Waafrika wanapata uhuru wa kweli kupitia kifo cha Rais Magufuli.
Waafrika wanatolewa usingizini na kupata hamasa za ukombozi...
Waafrika wanajifunza ukweli wa maisha duniani.

Wewe kwenye msiba ulitaka aongee nini huyo Msouth?

Kuwa mjamaa kunaambatana na kuwa kichaa
 
Umemrithi jiwe nini...si ungeandika tu Kiswahili?

Duh! Lugha ya malkia inazidi kuchinjwa.

Hapa sio tu umeiua, umeizika kabisa.
Kama kweli kakosea mrekebishe,ili tuone na wwe unajua!? Au ndiyo wale wanaojifanya kujua kwingii kumbe hamna kitu!!
 
Kama kweli kakosea? Yaani nyie viumbe vya ajabu kweli kweli! Eti kama kweli kakosea...sasa hapa nikujibu nini? Masikini jkipaji, kama nawe huoni kosa, sijui nikusaidieje.
Unamkosowaje Mtu bila kumrekebisha!? Kama kweli una lengo la kumuelimisha!?
 
Ni kwanini Waafrika hatutaki kubuni Diet nyingine zaidi ya Ugali?
Ugali unasadikika kupunguza IQ, hebu angalia miongoni mwa jamii za wala Ugali huwezi kusikia wamegundua chochote, jamii za wala Ugali zinaongoza kwa kuwa na IQ hafifu.

Utaalamu pekee wa Jamii hizi zenye IQ hafifu uko kwenye kurogana na kuwangiana usiku wa manane.
 
Unamkosowaje Mtu bila kumrekebisha!? Kama kweli una lengo la kumuelimisha!?
Huna habari kuwa wapo wasiofundishika na jitihada zozote za kujaribu kumrekebisha mtu kama huyo ni sawa na kutwanga kinu ndani ya maji. Mathalani mhusiika ndiye alitakiwa ahoji lilipo kosa lakini hakufanya hivyo na badala yake wewe ndiye unahoji na kuhoji kwenyewe ni kama vile unahoji ukosoaji wangu...eti kama kweli kakosea..! Are you for real?
 
Basi Mkuu yasiwe mengi,naomba urekebishe kwa faida ya walio wengi humu Kama hutojali!!
 
Back
Top Bottom