Good people never live longer but their legacy survive ages!

Good people never live longer but their legacy survive ages!

Utaandika kila upuuzi lakini ni too late , tulionya mapema sana kwamba hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu , tena tuliandika kwa mifano halisi lakini mlipuuza .
Hakika shetani sasa yupo kuzimu anaongoza malaika waasi.
 
Deni la Nje wajameni litalipika kweli? Yesu!!
External debt: $17.66 billion (31 December 2017
 
Hahahahahaha sikupatii picha ulivyolowa hahahahaha ndo maisha ndugu kung'uta vumbi uanze upya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Una uhakika?
 
Waafrika wanamuongelea Dr John Pombe Magufuli.
Waafrika wanapata uhuru wa kweli kupitia kifo cha Rais Magufuli.
Waafrika wanatolewa usingizini na kupata hamasa za ukombozi...
Waafrika wanajifunza ukweli wa maisha duniani.

Nilichokuwa nakiona kwa utawala wa Magufuli hasa kupitia wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi, ma Rpc,rco, Dco na weteule wengine sikuweza kukitofautisha na historia niliyoisoma kwa watendaji wa mkoloni kwa raia wazawa.
Ni kipindi ambacho nchini tanzania kulikuwa na waungwana na watwana, mabwana na watumwa.
Nilisikitika sana na kuwaza ni nani atakaetukomboa na kongwa hili la utumwa wa karne ya 21 la weusi kwa weusi?.
Niseme tu Mungu ana njia nyingi za kuepusha shari kubwa zaidi katika uzao wa kibinadamu ikiwa ataridhia maombi ya watu wake.
Amefanya alivyofanya , sii kwa nguvu wala kwa mamlaka bali kwa roho wake.
Maana mageuzi yangefanyika kwa nguvu ya binadamu damu nyingi sana za wasio hatia zingemwagika. Tanzania kwa hapa ilipofikia ilikuwa haina tofauti na Burundi au Rwanda ya siku za nyuma kidogo.
Nishukuru tu kwamba mapenzi ya Mungu yametimizwa na jina la Bwana lihimidiwe.
Huenda kukawa tena na ahueni na hali ya utangamano na mshikamano ambao tayari ulikuwa ushachinjiwa baharini.
 
You never know value of something until you loose it
 
Rest well our hero President John Pombe Magufuli 😍🇹🇿🙏
 
Utaandika kila upuuzi lakini ni too late , tulionya mapema sana kwamba hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu , tena tuliandika kwa mifano halisi lakini mlipuuza .
RiP John Pombe Magufuli
 
Umemrithi jiwe nini...si ungeandika tu Kiswahili?

Duh! Lugha ya malkia inazidi kuchinjwa.

Hapa sio tu umeiua, umeizika kabisa.
Hata mzungu hajui kiswahili
 
Back
Top Bottom