Good old days

Usipanie sana. Jiwekee malengo ya angalau mwaka mmoja. Kuna maisha baada ya kukonda, unapaswa ujijengee tabia/mifumo ya maisha itakayokufanya usinenepe tena. Tabia zinajengwa taratibu.

Chamsingi kuliko vyote ni lishe. Lishe ya kitanzania ni mbovu mno. Hapa kuna mengi sana ya kuzungumzia naona ni bora ukamuone mtaalamu wa lishe ili upate elimu ya kina.

Hakuna kabisa haja ya kuanza na mazoezi makali. Ukitembea hata 2km tu kwa siku utapata matokeo yatakayokujengea motisha.
 
Upoo,kwanza zamani ulikuwa mdogo unatembea,unacheza na wenzio, chakula cha kupangiwa na wazazi huna option, Sasa huchezi na hayo mazoezi mpaka uamue,kula unajipangia Mwenyewe! Hapo ndio shida ilipo.
 
Una urefu gani my wangu?

Sijui sana mambo ya diet ila kula chochote upendacho ila kwa portion ndogo.

Kilo nyingi sana hizo luv.
Sio nzuri kwa afya.
Epuka madawa ya kupunguza uzito siyaamini kama ni salama.
Usikate utumbo.
Cheza na diet tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…