rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Kwa wale wapenzi wa Arsenal waishio Marekani, Canada labda na Mexico Arsenal watazuru Marekani Summer hii. Watacheza mechi dhidi ya New York Red bulls July 26 kama sikosei ndani ya Red bulls Arena, Harrison New Jersey.
Arsenal.com-
Nimefurahi kupata hizu news lakini nadhani kama Arsenal ingekuja kipindi kile ipo juu hasa enzi za invincibles hii habari ingekuwa tamu zaidi. Wote tunajua na kukubali Arsenal hatupo juu wala katikati ukilinganisha na timu zenye Sugar Daddies. Pia kipindi walichoamua kuja Marekani sio kizuri kwa sababu Wenger anafikiria kuondoka Arsenal ndo maana hajasaini mkataba tangu alipopewa mkataba miezi kadhaa iliyopita. Anyway, lazima nifanye juu-chini kwenda kusapoti chama. Sijui wewe?
COYG!!!!!!!