Gongo/ Chang'aa yaongezewa nguvu na ARVs!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gongo/ Chang'aa yaongezewa nguvu na ARVs!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanamayu, Sep 7, 2012.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 6,874
  Likes Received: 1,341
  Trophy Points: 280
  Nimesikia kwenye radio moja kuwa kule Kenya wamama walio kwenye dose ya ARVs wanauza vidonge sita kwa Ksh 250 kwa watengeneza gongo/ chang'aa na kuifanya kuwa kali hasa - yaani glass moja tu you pass out or die!!

  Je, wamegunduaje? Kuna mama mmoja ambaye anatumia dose, siku anaanza dose na kuendelea amekuwa akiwa kama amelewa kwa masaa sita baada ya kunywa hizo dawa; hivyo akapata mawazo ya kuweka kwenye gongo ili kuongeza makali yake. Bongo nafikiri ARVs zinatumika kwenye mikuku ya kisasa!

  Is this a good innovation and high spirit of entrepreneurship?
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,884
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  kazi ipo
   
 3. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 10,739
  Likes Received: 1,846
  Trophy Points: 280
  Inasikitisha, nimeona makala hii NTV title sisters of death(check u tube post).
   
Loading...