Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
GONGA LIKE KAMA BIBI KATISHA. Bibi nae ni Msela? au Chademu huyu ? ahhhh
Lazima atakuwa ni gamba tu huyu (ccm).Ningekuwa karibu yake ningemcharaza bakora moja ya nguvu,kaniudhi na mirangirangi yake..
Hilo gauni atakuwa alipewa pamoja na kanga.na ubwabwa kwenye kampeni za chama "chetu"
Ningekuwa karibu yake ningemcharaza bakora moja ya nguvu,kaniudhi na mirangirangi yake..
Mkuu bakora ya aina gani?Ningekuwa karibu yake ningemcharaza bakora moja ya nguvu,kaniudhi na mirangirangi yake..