GONE TOO SOON...R.I.P Pd Proxy

GONE TOO SOON...R.I.P Pd Proxy

Status
Not open for further replies.

Adolph

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2010
Posts
895
Reaction score
346
hatimae basi limepata pancha tairi zote...abiria walionusurika bado haijajulikana ni wangapi...mwenye updates zozote kuhusu ajali hii atuabarishe
 
guru nae naskia amepata pancha tairi mbili za mbele wakati anakimbilia eneo la ajali..majanga juu ya majanga
 
Yani mimi nimelipia jana tu. Nashangaa saivi simwezi kabisa kukonekti.
 
hahah poleni sana basi lilizidisha sana abiria.
 
Safi sana, siju kwa nini wamechelewa kuzipa hizo port mda wote huo... Tatizo la watanzania wengi ni vilaza mno, mnapata bahati ya kupata upenyo kama huo badala ya kula kimya kimya mnawatangazia watu oooh ukitaka net ya bure ni check PM na wengine waligeuza kuwa ndio biashara haya sasa kuleni Ma.sa.bu,ri Yenu.
 
hatimae basi limepata pancha tairi zote...abiria walionusurika bado haijajulikana ni wangapi...mwenye updates zozote kuhusu ajali hii atuabarishe

Wengine bado tunakula maisha kama kawaida, wewe nadani ulikuwa unakula vya bure sasa inakwambia bandwidth limit unatoa macho! pole.
 
Hatimaye kampuni za simu zimezinduka au? Maana ni uzembe wa hali ya juu kuruhusu data inapita kwenye network yako bila kuweza kuifanyia accounting.
 
Mtoa mada PD haijafa bado ila usafiri wa bure ndo hakuna baada ya basi la pekee kupata Accident.
Najua kunawanaolia na kusaga meno but wapo wengine wanaangusha Kicheko cha nguvu kwa kufanikisha Azma yao.
Ndo hivyo tena waliolipia juzi na jana yabidi wasuspend ACC zao kusubiri tonge lingine au wazitumie kufichia M.asa.buri. Paje na munjy1 wapo anga zingine so kazi kwenu njunwa wamavoko mwl crtl na wadandiaji kusaka open port ingine na jinsi ya kutoa huduma kimya kimya.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom