Gone Are The Days.....!!!

Gone Are The Days.....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
What d'u miss back in days? As for me Gone are the days when I could hang out with my friends freely without worrying about time but know I can't even hang 3hours without wife calling to check one me. I can't even go to music clubs no more.
 
Kivyangu sijamiss kitu ni kama nimezaliwa saa hii.
 
Mi niko huru kabisaaaa nafanya ile kitu roho inapenda pale ninapopenda!
 
Mi nakumbuka kuwinda mabalale na vindege....nilikuwa na topito hiyo nimeichanjia ndele...kwenye kipago nimepakaza damu ya kindege ili iwe na shabaha...
 
Mi nakumbuka kuwinda mabalale na vindege....nilikuwa na topito hiyo nimeichanjia ndele...kwenye kipago nimepakaza damu ya kindege ili iwe na shabaha...

Hahah ukiweka damu kwenye kipago unaamini eti manati yako itakua inaua sana. Ulikua unatumia mipira gani? Janja au poto?
 
Hahah ukiweka damu kwenye kipago unaamini eti manati yako itakua inaua sana. Ulikua unatumia mipira gani? Janja au poto?

Hayo majina mi siyajui ila tulikuwa tunatumia mipira fulani ya hospitali huwa inatumika kulishia wagonjwa mahututi....rangi yake kama raba bendi
 
Hayo majina mi siyajui ila tulikuwa tunatumia mipira fulani ya hospitali huwa inatumika kulishia wagonjwa mahututi....rangi yake kama raba bendi

Yeah naifaham si tulikua tunaita dripu
 
Gone forever are the days mzee, mimi mwenyewe hapa wkend nimeshatuma msg kwamba simu imeisha chaji mamsap asinitafute! lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom