Gomba,! Gomba, gomba,! Jamani wala gomba......

Gomba,! Gomba, gomba,! Jamani wala gomba......

Swadaktaaaar nguli nimefika....Hii kitu ni Mujarab, na kuna Aya inasema ''KILA KITAMU MNACHOKILA DUNIANI BASI HUKU MBINGUNI MTAKIKUTA MARA MBILI ZAIDI YA HUKO''....Sipati picha hilo Gomba la mbinguni handas yake itakuwaje...

Hii sijasikia!
 
Gomba ni nowumer jamani, hivi huyu jamaa.....angekuwa bongo sijui wangemuunganisha kwenye ile ishu ya kiwanja cha ndege.(masogange), pia ntamtengenezea mpango aende kuhamia ile nchi iliyohalalisha matumizi ya jani.
 
Back
Top Bottom