seniorgeek
JF-Expert Member
- Sep 18, 2008
- 500
- 128
Uki ongezea na kitu cha chuga, w/end inabaki kutafuta manzi tu.
ukiongeza cha arusha hapo patalalika kweli?
Gomba ndio lenyewe hasa lile gomba gold ama kangeta manake handasi yake ni poa sana.
I love gomba!
Jamani raha ya hii kitu mtu asikwambie, karibuni hapa boda ya Namanga sisi twala bila tabu
Jamani raha ya hii kitu mtu asikwambie, karibuni hapa boda ya Namanga sisi twala bila tabu
Redbull hata ninywe dozen usingizi napata kama kawaida. Ila gomba nawezakaa siku 3 machokumbe aim ni kukesha tu? sasa si bora mtu atupie maredbull tu, mateso yote hayo ya kusugua mashavu jaman ya nn sasa? mi nlijua kuna rizim nyingine kumbe wap!
Ndio nikashindwa kuelewa hata huu uhusiano wetu na Wakenya utatufikisha wapi. Nilipofika Mombasa mara ya kwanza 2006 nilidhani wanauza matembele ya Kikenya, kumbe mirungi. That means kule kwao sio kosa, ila hapa minimum 6yrs
mmmmh kweli gomba noma kabisa duuu!!
Kolombo ndio yenyewe bwanaa..Gomba ndio lenyewe hasa lile gomba gold ama kangeta manake handasi yake ni poa sana.
I love gomba!
Kolombo hiyooooo!!!! Na miss sanaaaa Tanga nikiona hivi..Uki ongezea na kitu cha chuga, w/end inabaki kutafuta manzi tu.
muuzaji yup wa gomba ushamuona akiuza kistaarab? wengine huweka kwenye sox, sehem nyeti, kwenye maziwa kwa wanawake yaan vurugu tupu, tofaut na hapa tz kule kenya hasa taveta, huuzwa hadharani kama mbogamboga na hupangwa kwa mafungu
Swadaktaaaar nguli nimefika....Hii kitu ni Mujarab, na kuna Aya inasema ''KILA KITAMU MNACHOKILA DUNIANI BASI HUKU MBINGUNI MTAKIKUTA MARA MBILI ZAIDI YA HUKO''....Sipati picha hilo Gomba la mbinguni handas yake itakuwaje...Subiri mukuu Gang Chomba atakupasha
Alikwambia nani huyo ni muuzaji?...Muonekano wa muuzaji tu ni ishara tosha kuwa hicho akiuzacho si salama...