Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,869
Kilo ya Giza aina ya Kolombo utaipata kwa bei ya 50,000 na Kichanga kimoja au Dharba moja ni buku 5 hadi 6......na hiyo ya Hedaru utaipata kwa shilingi 1000 ka kichanga kimoja ama kwa lugha ya Gomba inaitwa Dharba.....Pia kuna aina ingine inaitwa Rungu, hii inapatikana kwa shilingi 2000 kwa kichanga kimoja.mi nasikia zinatofautiana bei kulingana na ubora, za upareni huko nasikia bei ndogo za kenya bei kubwa kg 1 sijui wanapima vip hiyo kg inarate 10,000/- mpka 12,000/- bei tu usihof msubiri Waheed Suday,Madame X, Kasumbaleza, na wengineo watakuambia