Goli !

you thnk unaweza kunambia kimya and nkafanya hivyo sababu umenambia?? hell no.. wil go dim only if nkiamua mwenyewe.!! By the way nimekuelewa

Funika kombe mwanaharamu apate kupita .hapa cc usipojiangalia utapata streess halaf wenzio wanaishia kukenua tuu
 
Goli ni polisemia, kwanza ni tukio la mchezoni, yaani kitendo cha mpira kupita milingoti miwili, lakini pia ni lile umbo la mwisho wa uwanja, lenye goalline, post mbili na crossbar wakati mwingine wavu.
Kwa hiyo maana hutegemea muktadha wa matumizi.
 
Thank u mphavu.hw are u lakin?
 
usijali my wife ! Kwanza zis sredi mali yangu ! So far chakachua nami nichakachue kwa laa'zetu!
Ni hivi huyu miss bantu anakuskiaga tu mavitu yako yaani ma'capacity yako! Afu anaonekana anakuogopa maa'ability yako mahuge!

hata kama ni mali yako ukicheza rafu lazima upigwe kadi :focus: Hii ni kuhakikisha thread inabaki salama :peace:
 
Wewe babu janja hovyoo hebu usitujazie siafu sie kujambishwa ajambishwe mwngne tumbo waumia wewe hebu bana kaoge unaharibu kijiwe

"Makavu Jazz band!"
Leo wataonyesha show ktk ukumbi wa "za uso club"
 
JajiMenti hujambo Baba?
Goli ni Goli kulingana na mazingira neno linapotumika kwa wakati huo..
Hata kwenye mambo ya kikubwa hili neno hutumika pia...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom