Goli ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Goli !

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Jul 27, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wakubwa mambo?
  Ni hivi , pamesemwa
  > Golikipa yuko kwenye goli lake .
  Pakasemwa tena
  > Kipa huyu keshafungwa goli moja.
  Pakasemwa pia
  > Goli la kaskazini halilali njaa !
  Tatizo langu goli ni lipi ?
  Ni ile miti (post) zinazokaa na nyavu ?
  Au goli ni mpira unavuka line na kuingia nyavuni ?
  Which is which ?
  Naomba kutoa hoja .
   
 2. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Love za asubuh mim navojua watu huwa wanachanganya saana kuna tofauti kati ya nomino na kielezi goli ni nomino, golin ni kielez na goli is an outcome au result ambayo hupatikana baada ya mpira kuzama nyavuni, ila golin ni sehemu ambapo goli limefungwa. Na labda niseme kitu hata ktk wasimuliz wanasemaga upande wa kaskazin au wamashariki huwa wanasema ivi kwamfano azam inafunga magharibi mwa uwanja.nahis hivo na ndo wazo langu mpenzi.
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Dah kiswahili kigumu
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Beibe mekupata vyema!
  Waonekana umahiri wa kucheza lugha! Nway ntalipeleka kwa Shaaban Kisu na lulu za kiswahili.
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  goli = Goal = target
  Goalkeeper
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Goli, goli au linaongelewa goli gani?
   
 7. Miss Bantu

  Miss Bantu Senior Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  kumbe huyu ndo beibe nasty... hahahahahahaha

  BTT:
  Goli ni goli tu na yote yanaweza yasilale njaa..
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  eh nomino kielezi..mh nilifikiri kiswahili ni kirahisi..i stand corrected...
   
 9. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Miss bantu vipi kwani ndie mie beibe nasty unaujumbe labda au ulikuwa unanisikiaga hukuwa nibahatisha? Ama?
   
 10. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Usijali my wife ! Kwanza zis Sredi mali yangu ! So far chakachua nami nichakachue kwa laa'zetu!
  Ni hivi huyu Miss Bantu anakuskiaga tu mavitu yako yaani ma'capacity yako! Afu anaonekana anakuogopa maa'ability yako maHuge!
   
 11. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  heheeeeeeeeeeeeeee sawa my lovie
   
 12. Miss Bantu

  Miss Bantu Senior Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  basi niliku upgrade xana kumbe you sound that way.!! Ijumaa njema
   
 13. Miss Bantu

  Miss Bantu Senior Member

  #13
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  kuogopa??? ennhhh.. Kwa kipi hasa.!!?
   
 14. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Maskin miss bantu mie ndo nasty n u thought mekujibu hasly bt wala nahis ume pokea tofaut saaana any ways im sorry ookey kama u thought dat way
   
 15. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  May b coz of the name nasty bt sitaki lig hapa wewe kimya na wewe love kimya im done sa endeleen ntawapeleka kwa babu aspirin
   
 16. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  Miss Bantu.... Beibe Nasty keshakwambia sorry.. yanini malumbano jamani miss ban2?
   
 17. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Arushaone natumai miss ban2 kanielewa
   
 18. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mapenzi hayana macho,kati ya nasty na missbantu mmjawapo atakuwa nyumba ndogo, mbona J anakingungumizi sana leo duuuuu!!!ila wng sijamtia machon toka asubuhi mwenye nae amuachie jamani tym za futru hizi.
   
 19. Miss Bantu

  Miss Bantu Senior Member

  #19
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  you thnk unaweza kunambia kimya and nkafanya hivyo sababu umenambia?? hell no.. wil go dim only if nkiamua mwenyewe.!! By the way nimekuelewa
   
 20. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ummu mamboo ngoja jg aje aseme kwa uzuri yawezakana ndo aliambiwa jg yupo single sa akwa ansikia fununu kwa wambea wa mtaa huu wa cc ndo leo kaliona jina hilo kapata shock
   
Loading...