kajojo JF-Expert Member Joined Jun 9, 2012 Posts 2,946 Reaction score 5,491 Apr 17, 2014 #41 Mapenzi yana run dunia
chox05 JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 231 Reaction score 98 Apr 17, 2014 #42 Duh humu tutakuja kuuana yan nimecheka mpaka watu wananishangaa
mwantui JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 1,639 Reaction score 846 Apr 17, 2014 #43 Goli lako unalifungia upande upi wa goli manake kuna magoli mengine huwezi kuyafunga kutokana na mpira labda ulikua unaelekea nje ya goli au umepiga tiktaka au umepiga kichwa lazima uumie mpaka machozi yatoke isee.
Goli lako unalifungia upande upi wa goli manake kuna magoli mengine huwezi kuyafunga kutokana na mpira labda ulikua unaelekea nje ya goli au umepiga tiktaka au umepiga kichwa lazima uumie mpaka machozi yatoke isee.
B boooob Member Joined Mar 29, 2014 Posts 22 Reaction score 2 Apr 17, 2014 #44 Ikiwezekana mng'ate kabisaa
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,319 Reaction score 13,390 Apr 17, 2014 #45 ofisa said: yaani hii nchi haiwezi kuendelea miaka hii JF ni uwanja wa mapenzi na propaganda za CHADEMA NA kUSAHAU kabisa matatizo ya watanzania Click to expand... Mkuu uwe unasoma kwanza jukwaa kabla ya kuingia,ona sasa unavyoonekana hamnazo.
ofisa said: yaani hii nchi haiwezi kuendelea miaka hii JF ni uwanja wa mapenzi na propaganda za CHADEMA NA kUSAHAU kabisa matatizo ya watanzania Click to expand... Mkuu uwe unasoma kwanza jukwaa kabla ya kuingia,ona sasa unavyoonekana hamnazo.
Himawari JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 2,609 Reaction score 1,703 Apr 17, 2014 #46 nkungwe123 said: Juma kuu hili jamani Click to expand... Juma kuu la nini? Sio wote waumini bana kha! Ndio kama hivyo jamaa anajisevia kilaini hadi machozi.
nkungwe123 said: Juma kuu hili jamani Click to expand... Juma kuu la nini? Sio wote waumini bana kha! Ndio kama hivyo jamaa anajisevia kilaini hadi machozi.
nkungwe123 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 444 Reaction score 95 Apr 17, 2014 #47 Himawari said: Juma kuu la nini? Sio wote waumini bana kha! Ndio kama hivyo jamaa anajisevia kilaini hadi machozi. Click to expand... Atakunya soooon
Himawari said: Juma kuu la nini? Sio wote waumini bana kha! Ndio kama hivyo jamaa anajisevia kilaini hadi machozi. Click to expand... Atakunya soooon
masatujr1985 JF-Expert Member Joined Oct 27, 2011 Posts 1,980 Reaction score 789 Apr 17, 2014 #48 Mona Mungu tu akuepushe na ku..Nya maana inaonesha hisia zinahamahama kwako.